MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Mpenzi wangu jamani hataki tufanye mapenzi mpaka nhmuwowe na wakati mwingine nikimpigia simu hapokei
Looooh........
Mpenzi wangu jamani hataki tufanye mapenzi mpaka nhmuwowe na wakati mwingine nikimpigia simu hapokei
una miaka mingapi we mtoto?? Umeshafanya mtihan wa form four?
Naomba namba yake nimgombeze sana kwa kukutesa.Mpenzi wangu jamani hataki tufanye mapenzi mpaka nhmuwowe na wakati mwingine nikimpigia simu hapokei
huna chako hapo, sepa zako tu, km unamdai mwambie akulipe kwanza then sepa.