Kweli hanitaki au anazuga?

Acha ujinga wewe kijana, ana mtu wake mwache afurahie maisha yao. wake wako wengi na unaweza pata wako asiye na mtu. Kama unataka kumwachisha kwa mtu wake uwe tayari maana kile umtendeacho mwenzio kitakuja vile vile na kwa style ile ile. Ebu weka akili yako sawa, muombe Mungu akupe nguvu na ushauri.
 
Wanawake wote wana sifa moja....
They can change anytime depends with the way unavyo deal nae..

Sasa wewe amua.kama unamtaka kweli....mbadilishe mawazo

inawezekana trust me

mkuu boss nakupinga kwa nguvu zangu zote.
nashindwa kuelewa mnawaonaje wanawake,
kazi kweli kweli.
eti they can change anytime depends na unavyodeal nae khaa just like that:angry::redfaces:
kweli mnatudharau.
usiku mwema.
 
lizzy,angekuwa yumo humu ningemuanzishia uzi wa 'simzimii',lol!
tindikali,kama anaendelea kurespond basi mwanawane endelea na marathon.ila kama hapoke simu na hajibu hizo sms jamani,yaani namuombea msamaha manake inakera mtu ambaye unajua hata duni iishe huwezi kuwa interested nae afu anakusumbuaaa!wadada wazuri wengi wako bwana,kwanza una-focus kwake opportunities zinakupita.

sms anajibu, simu anapokea,
 
Acha ujinga wewe kijana, ana mtu wake mwache afurahie maisha yao. wake wako wengi na unaweza pata wako asiye na mtu. Kama unataka kumwachisha kwa mtu wake uwe tayari maana kile umtendeacho mwenzio kitakuja vile vile na kwa style ile ile. Ebu weka akili yako sawa, muombe Mungu akupe nguvu na ushauri.

asante kwani napata mawazo mapya, nitayafanyia kazi.
 
Katika age fulani, ni vigumu kukuta mtu yuko peke yake, au atleast kuprove yuko peke yake!
Nimempenda huyo dada kwani amekuwa honest, si watu wengi wako hivyo; ni dalili nzuri!

Unaweza kuwa na uhusiano naye wa kawaida(friendship)
kwanza, then baada ya muda waweza;

Tell her ur intentions na kwamba uko serious, kwa kama atakuwa yuko tayari kudecide then you will know.

Najua wanaume hawakati tamaa easily, so as some told u already; follow ur heart and don't quit!
 
...bora ulivyothibitisha ukweli, fuata moyo wako.

...Mawazo mabaya, usifuate akili yako,[/B] Utaumia!

Nadhani the opposite ndio kweli. Fuata akili yako. Ukifuata moyo wako ndo utaumia. Moyo hau-reason lakini akili ndio ina-reason.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kaa na huyo msichana ongea naye lengo lake kwake, pia nini unachokijua juu ya huo uhusiani naye na huyo aliyemzidi sana umri,
wasichana wengi (siyo wote) wakiwa chuoni wanakuwa na uhusiano wa aina hiyo lengo kuu likiwa ni kupata huduma,
toka kwa hao waliowazidi sana umri lakin siyo mapenzi ya kweli,pia hawana muda wa kuoana nao.
Na wewe umesema lengo ni kumwoa pindi mmalizapo masomo, so kaa naye mwambie ukweli juu ya msimamo wako then,
Kama ni mkweli atakwambia ukweli, halafu mtafikia mwafaka nini cha kufanya.

KAMA HUYO NDIYO MKE WAKO ULIYEANDIKIWA NA MUNGU BASI LENGO LITATIMIA,
LAKIN KAMA SIYO ULIYEANDIKIWA BASI WEWE VUTA SUBIRA UTAMPATA MWINGINE UKIMALIZA CHUO.
 
shukrani mkuu
 
anaweza change, jipe mda kama miezi 3 mbele, hakikisha ndani ya miezi hii unamtumia sms za asubuh, mchana, jioni na hata usiku bila kusahau meseji za kimatukio. lazima one day atashow respond tu, ila cha muhimu jipe mda wa kuyafanya yote haya na uwe na moyo wa subira.

duh! Ndio zenu visimu na vimeseji?
 
Kaa na huyo msichana ongea naye lengo lake kwake, pia nini unachokijua juu ya huo uhusiani naye na huyo aliyemzidi sana umri,
wasichana wengi (siyo wote) wakiwa chuoni wanakuwa na uhusiano wa aina hiyo lengo kuu likiwa ni kupata huduma,
toka kwa hao waliowazidi sana umri lakin siyo mapenzi ya kweli,pia hawana muda wa kuoana nao.
Na wewe umesema lengo ni kumwoa pindi mmalizapo masomo, so kaa naye mwambie ukweli juu ya msimamo wako then,
Kama ni mkweli atakwambia ukweli, halafu mtafikia mwafaka nini cha kufanya.

KAMA HUYO NDIYO MKE WAKO ULIYEANDIKIWA NA MUNGU BASI LENGO LITATIMIA,
LAKIN KAMA SIYO ULIYEANDIKIWA BASI WEWE VUTA SUBIRA UTAMPATA MWINGINE UKIMALIZA CHUO.

ushauri mzuri.
 
Nadhani the opposite ndio kweli. Fuata akili yako. Ukifuata moyo wako ndo utaumia. Moyo hau-reason lakini akili ndio ina-reason.

...ha ha ha! hiyo "nadhani" unausemea moyo au akili?
 
<p>
sms anajibu, simu anapokea,
</p>
<p>&nbsp;</p>
my honest advise,kwa nini usijaribu kwa rafiki yake wa kawaida kwanza?utampa nafasi ya kukujua utu wako zaidi kuliko matamanio yako.kuwa karibu,umuelewe na akisema anahitaji space umpe.pengine unaweza kuu-win mtima wake kuliko kushikilia mapenzi tu.kuna wanawake wanapenda urafiki kwanza kabla ya mapenzi.
 
Hatimaye mambo yamenibadilikia, sms hajibu pia kuonana na mimi hataki. Mapenzi haya!!!!!!!
 
Vuta subira inawezekana bahati ikawa kwako, as you kow women most of the time learn to love, sababu mtu anakuwa amekupenda na kukutamkia wakati wewe hukuwa na mawazo hayo. Ukiona ana msimamo ujue kweli uhusiano wake uko imara chapa lapa
 
Back
Top Bottom