Kweli hanitaki au anazuga?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wakubwa shikamoni, wenzangu habari za jioni. Mimi ni kijana ambaye natafuta mchumba ambaye mambo yakienda sawa nataraji awe mke. Katika mizunguko ya kusaka degree nilimuona binti wa 2nd year, alinivutia na nilifanya jitihada nikapata namba yake, niliwasiliana naye kama 2 dayz na akahitaj anione, tulionana na tukaongea machache, baada ya hapo mawasiliano yalikuwa mazuri, na tukawa tunaonana mara chache, kwani tulikuwa busy na maandalizi ya UE. Sikuwa na jinsi, ikabidi nimueleze jins ninavyomhitaji, alinijibu kwamba ana mtu. Nilikubaliana na alichokisema, na nikafanya kautafiti kadogo na kugundua kuwa ana uhusiano na mtu ambaye amemzid sana kiumri, hivyo anaogopa/anaona aibu kumtambulisha kwa wenzake, rafik zake weng anawambia yuko single. Tatizo hapa ni kwamba hataki kunipa muda wa kukaa na kuongea naye, kuna muda huwa nataman kumpotezea, lakini upande mwingine nafsi yangu inambia yeye ndiye anayenifaa. Nishaurini/nipeni mbinu. Asanteni

Wakubwa shikamoni, wenzangu habari za jioni. Mimi ni kijana ambaye natafuta mchumba ambaye mambo yakienda sawa nataraji awe mke. Katika mizunguko ya kusaka degree nilimuona binti wa 2nd year, alinivutia na nilifanya jitihada nikapata namba yake, niliwasiliana naye kama 2 dayz na akahitaj anione, tulionana na tukaongea machache, baada ya hapo mawasiliano yalikuwa mazuri, na tukawa tunaonana mara chache, kwani tulikuwa busy na maandalizi ya UE. Sikuwa na jinsi, ikabidi nimueleze jins ninavyomhitaji, alinijibu kwamba ana mtu. Nilikubaliana na alichokisema, na nikafanya kautafiti kadogo na kugundua kuwa ana uhusiano na mtu ambaye amemzid sana kiumri, hivyo anaogopa/anaona aibu kumtambulisha kwa wenzake, rafik zake weng anawambia yuko single.

...bora ulivyothibitisha ukweli, fuata moyo wako.

...Tatizo hapa ni kwamba hataki kunipa muda wa kukaa na kuongea naye, kuna muda huwa nataman kumpotezea, lakini upande mwingine nafsi yangu inambia yeye ndiye anayenifaa. Nishaurini/nipeni mbinu. Asanteni

...Mawazo mabaya, usifuate akili yako, Utaumia!

Marahaba,natumai hujambo.....sijui kwanini unamfikiria msichana ambaye hujui hata kama anakupenda kuwa mkeo mtrajiwa.....ni vizuri ukamfahamu zaidi huyo msichana wake,achana na mambo ya ana mtu aliyemzidi umri sana na anaona aibu hata kumtambulisha....that does not change the fact that she might be deeply in love with him pamoja na umri wake.......usipoteze muda wako kumfikiria mtu asiyekuwa na mpango na wewe,wasichana wapo wengi tu.....zungumza na huyo dada na heshimu atakalosema....maisha yaendelee!:washing:

Wanawake wote wana sifa moja....

They can change anytime depends with the way unavyo deal nae..

Sasa wewe amua.kama unamtaka kweli....mbadilishe mawazo

inawezekana trust me

anaweza change, jipe mda kama miezi 3 mbele, hakikisha ndani ya miezi hii unamtumia sms za asubuh, mchana, jioni na hata usiku bila kusahau meseji za kimatukio. lazima one day atashow respond tu, ila cha muhimu jipe mda wa kuyafanya yote haya na uwe na moyo wa subira.

dah kiongoz huyo ypo na mdingi kwa sasa we uoni kwamba utampora huyo dingi utaoa then dingi hyohyo atakuja akugongee mkeo we unafkil mpz yataisha kwa mdingi acha kupoteza muda wako madem weng wamejaa acha kubp kwenye mpz

Ha ha ha...! Itabidi Ahakikishe anajiunga na MIA ZAIDI...Lol

Marahaba,natumai hujambo.....sijui kwanini unamfikiria msichana ambaye hujui hata kama anakupenda kuwa mkeo mtrajiwa.....ni vizuri ukamfahamu zaidi huyo msichana wake,achana na mambo ya ana mtu aliyemzidi umri sana na anaona aibu hata kumtambulisha....that does not change the fact that she might be deeply in love with him pamoja na umri wake.......usipoteze muda wako kumfikiria mtu asiyekuwa na mpango na wewe,wasichana wapo wengi tu.....zungumza na huyo dada na heshimu atakalosema....maisha yaendelee!:washing:

Nakubaliana na Michelle. Mara nyingi mtu ambaye ana interest utamuona tu... sasa kama ameadmit ana mtu its obvious yuko real na huyo mtu no matter ni wa umri gani. ILi mradi ulishamwambia nia yako kwake na ukapewa jibu hilo wewe tulizana piga shule yako. Mke wako yuko some where it is just a matter of time utakutana nae tu. Usijaribu kuforce eti she is the one...after all mke huwezi kumjua kwa siku moja tu..it is a process. Wengi waliooa hawakujua au kutegemea kama hao ndio watakuwa wake zao...kuna stage nyingi za kupitia mpaka mtu aje kuwa mke. KIla la kheri

anaweza change, jipe mda kama miezi 3 mbele, hakikisha ndani ya miezi hii unamtumia sms za asubuh, mchana, jioni na hata usiku bila kusahau meseji za kimatukio. lazima one day atashow respond tu, ila cha muhimu jipe mda wa kuyafanya yote haya na uwe na moyo wa subira.

watu wa aina hii wanakera sana!kuna mtu ananifanya nitamani kubadili namba yangu ya simu ambayo nimeitumia for 10 yrs!yaani ashaambiwa hatakiwi mara kadhaa si uelewe jamani!mtu anapiga simu kila saa mwaka mzima eti niambie wataka niweje ili unipende!unamfundisha kutokuwa mstaarabu!

dah kiongoz huyo ypo na mdingi kwa sasa we uoni kwamba utampora huyo dingi utaoa then dingi hyohyo atakuja akugongee mkeo we unafkil mpz yataisha kwa mdingi acha kupoteza muda wako madem weng wamejaa acha kubp kwenye mpz

sawa lakini si rahisi kumkuta asiye na mtu

watu wa aina hii wanakera sana!kuna mtu ananifanya nitamani kubadili namba yangu ya simu ambayo nimeitumia for 10 yrs!yaani ashaambiwa hatakiwi mara kadhaa si uelewe jamani!mtu anapiga simu kila saa mwaka mzima eti niambie wataka niweje ili unipende!unamfundisha kutokuwa mstaarabu!
Hehehe mwambie 'unataka asiwe king'ang'anizi!Aache kukusumbua kabisa labda then utamfikiria!'

watu wa aina hii wanakera sana!kuna mtu ananifanya nitamani kubadili namba yangu ya simu ambayo nimeitumia for 10 yrs!yaani ashaambiwa hatakiwi mara kadhaa si uelewe jamani!mtu anapiga simu kila saa mwaka mzima eti niambie wataka niweje ili unipende!unamfundisha kutokuwa mstaarabu!

nilishaanza hilo zoezi, nimejitahidi nisimkere, kikubwa hapa ni response yake, hiyo ndiyo inayonichanganya

lizzy,angekuwa yumo humu ningemuanzishia uzi wa 'simzimii',lol!
tindikali,kama anaendelea kurespond basi mwanawane endelea na marathon.ila kama hapoke simu na hajibu hizo sms jamani,yaani namuombea msamaha manake inakera mtu ambaye unajua hata duni iishe huwezi kuwa interested nae afu anakusumbuaaa!wadada wazuri wengi wako bwana,kwanza una-focus kwake opportunities zinakupita.

mh inawezekana kweli? Kila ninayekutana naye et ana mtu
Sasa unataka kumtoa mtu kwenye mikono ya mtu wake alafu aje atolewe kwenye yako pia?Endelea kuangaza macho...au badilisha style ya kuwatokea maana inawezekana unawaboa kwahiyo wanatumia njia rahisi kukukataa!

Back
Top Bottom