Kiukweli kila anayetaka kunipa kazi mpaka aniulize nina elimu gani. Mmmh! naishia kuguna tu maana hapa nimejua umuhimu wa shule basi mie nilikuwa nataka kazi za maofisini? Hapana nahitaji tu za kawaida tu za kunipa kipato angalau vipi wadau mnani saidiaje hapa?
Ushauri wenu please au kama kuna kazi labda hata ngumu ngumu ni PM
Asubuhi njema members
Ushauri wenu please au kama kuna kazi labda hata ngumu ngumu ni PM
Asubuhi njema members