RedDevil
JF-Expert Member
- Apr 30, 2009
- 2,367
- 1,524
Hako kajamaa ni hatari sana...yaani huwezi kukakosa kila sehemu kapo, kila siku kapo, kila muda kapo. Dah! Kanahitaji tuzo ya JF mwaka huu.Mkuu upo likzo nn? Yaan upo active jamii forums 24/7
Hako kajamaa ni hatari sana...yaani huwezi kukakosa kila sehemu kapo, kila siku kapo, kila muda kapo. Dah! Kanahitaji tuzo ya JF mwaka huu.Mkuu upo likzo nn? Yaan upo active jamii forums 24/7
wewe tu mkuu, jiamulie awe yeyoteKwani huyo ni mtu , sio kibwengo hicho jamani !
Kwa hiyo unamaanisha hili zee la front peji ni likibwengo?Kwani huyo ni mtu , sio kibwengo hicho jamani !
Zee la front peji zee la mihemko...zee la ai wishi ai kudu be...nyie lichokozeni tu!!
Kwani huyo ni mtu , sio kibwengo hicho jamani !
Hapana, najaribu kumtetea yeyote anaefananishwa na hicho kiumbe, hicho ni kibwengo hakiwezi kufanana na binadamu wa kawaida!Kwa hiyo unamaanisha hili zee la front peji ni likibwengo?