Kweli dunia imeisha kabisa

Kweli dunia imeisha kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,875
Niko sehemu Ubungo nakula maharage na wali wangu.
Namsikiliza pembeni kijana mmoja yuko na dada mmoja sijui kamtoa wapi anamsifia mkewe mchapakazi kweli, amemwacha analinda mashamba Morogoro na sasa ameanza na ujenzi wa vyumba vya kupanga na yuko huko kwa miaka mitatu anaenda kila baada ya miezi mitatu na kukaa wiki.

Ndugu zangu hizi hali zilikuwa kwa wachaga na sasa wapogoro haya mambo kuwalaza wake zenu kwa wakwe ama mbali hivi mmeanza lini...mkizalishiwa mtauliza kweli?? Ulizeni wachaga walikoma wenyewe kila anaezaliwa anafanana na babu akaka babu mtu....

Sipendi hali hii ila nawatakia mema kwa wale wote JF mnaoishi kwa maisha haaya ya long dist

MUNGU AREHEMU NDOA ZENU
 
Kumbe umepiga kitu ndondo....wali Maharage ni shida...ukipiga na Coke baridi basi kwenye kutoa gesi Mtwara hamna kitu
 
Dunia haiwezi kuisha binadamu ndiyo tunaopuputika
 
Tabia tu,kam demu wako Malaya atapigwa tu at a uwepo karibu
✨í-½í²Ží-½í²Ží-½í²Ží-½í²Žâœ¨
 
Sipati uhusiano wa kichwa cha habari na ulichikiandika
 
Mkuu Pdidy nakushauri daily uwe unagonga wali ndondo maana hakika leo umenistaajabisha kwa kuandika kwa ufasaha sentensi na maneno...

Inawezekana siku nyingine huwa unaingia JF ukiwa na njaa mkuu...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom