Angemsamehe wala wasingeachana.
Angemsamehe wala wasingeachana.
Angemsamehe wala wasingeachana.
Umejuaje kuwa hakumsamehe mkewe?
Je uliufungua moyo wa Mandela na kuuchungulia ndani?
Kwani kumsamehe mapaka warudiane?? Inabidi pia tujue maana ya kusamehe
finally umebadilisha avatar yako mkuu...safi sana hongera ndg yangu....
Ehehehehe kwajili yako tu, naona yule mbaba lia lia ulikuwa humpendi, hako katoto vp??
aah! katoto kazuri kametulia asante sana hahahahahahah!!!!!!huyo ni mwanao au ulivyokuwa mdogo?hahahahahaha!!!
Hahahaha ningekuwa nakatoto kama haka bilashaka mama yake angekua kaburu
Ni Nelson Mandela. Dunia nzima simanzi. Katutoka shujaa na mzalendo wa Africa.
Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba, alifungwa jela miaka 27 lakini alipofunguliwa aliwasamehe wote waliomfunga na akashindwa kumsamehe mkewe mpendwa aliyemsaliti. Hapo waweza ona jinsi gani ku*ombewa kunavyouma!