Kweli dhambi hii ni vigumu kusameheka.

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,085
3,430
Ni Nelson Mandela. Dunia nzima simanzi. Katutoka shujaa na mzalendo wa Africa.
Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba, alifungwa jela miaka 27 lakini alipofunguliwa aliwasamehe wote waliomfunga na akashindwa kumsamehe mkewe mpendwa aliyemsaliti. Hapo waweza ona jinsi gani ku*ombewa kunavyouma!
 
Angemsamehe wala wasingeachana.

Kwanza uelewe kwamba dunia nzima ilikuwa inaangalia ile drama ya Mandela na Winnie.

Kwa maoni yangu nadhani Winnie alishakata tamaa kwamba wangeonana tena na Mandela, na ndiyo akajichukulia dogo dogo akawa anatembea nayo hadharani kabisa.

Kuna mwanahabari mmoja hivi juzi baada ya kifo chake walitoa clip ambayo alikuwa anaongelea siku moja baada ya kutolewa gerezani Mandela na mbele ya waandishi wa habari Winnie aliondoka na huyo kijana kwenda wanakokujua wao na kurudi baada ya masaa kadhaa. Hiyo ilikuwa ni scandal ambayo ilinyamazishwa kinyemela lakini ilimuuma sana mzee wa watu.
 
Matola leo aliekuamsha mwambie kesho asirudie mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mi mke wangu akimegwa ntasamehe tuuu. Hivyo nina huruma zaidi ya .................
 
Gombaneni hapo weee,,wanajua wao,,,mwenzenu ata jayupo tena duniani
ya kwako mtoa mada yakushinda,,ya wafu utayawezaa???
 
Ni Nelson Mandela. Dunia nzima simanzi. Katutoka shujaa na mzalendo wa Africa.
Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba, alifungwa jela miaka 27 lakini alipofunguliwa aliwasamehe wote waliomfunga na akashindwa kumsamehe mkewe mpendwa aliyemsaliti. Hapo waweza ona jinsi gani ku*ombewa kunavyouma!

Matatiz hufa! Umepinda mbaya!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom