Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Mtu atajilikana kuwa ni kichaa kwa mavazi, muonekano wa sura yake au kauli zake.
Ila 90% uendawazimu wa mtu hupimwa kwa maneno yake.
Huku 10% tu ndio tutampima mtu kwa mavazi, nywele na muonekano.
Kauli mbili za Heche ndani ya hotuba moja zinathibitisha kuwa John Heche vice chairman wa CHADEMA ni tahira.
1. Kauli ya kwanza
"Hatuitambui serikali ya Rais Samia"
2. Kauli ya pili
"Tunaitaka serikali imwachie Mh. LISSU haraka bila masharti yoyote".
Serikali gani imwachie LISSU huku nchi haina serikali unayoitambua?
Kama LISSU ameshikiliwa na kushitakiwa kinyume na taratibu na hana hatia kwanini mlipeleka mawakili na nyie kuhudhuria kesi?