JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Wana jf...kweli leo nimeamini wabunge wa ccm ni vichefuchefu....spika amerudisha muswada wa maoni ya katiba wao wanapiga vigelegele na kushangilia bila aibu eti ccm ccm ccm ni aibu kubwa sana,
wamenyamazishwa na lema au kabwe kama sukosei maana sikumuona vizuri akisema shangilieni vizuri maoni ya chadema...nauliza swali kuna mbunge gani wa ccm aliye bungeni sasa hivi aliyetoa maoni kupinga muswada huu wa katiba?
Dah kweli itabidi hata jk ampigie Dr wa ukweli magoti na amuheshimu kama kiongozi wake, thanks Chadema's team
Namwona hapa Anna Kilango anaipongeza serikali kwa kurudisha mswada kwa watanzania, hv anajua nani amesababisha hili nadhani angewapöngeza wadau wa katiba
Nilitegemea wangemshauri Mh. Kikwete ambadishe Waziri aliyeleta Mswada huu ambao umeidhalilisha Serikali yake mbele ya umma wa wananchi
Mtoa mada lazima ujue Upinzani sio uadui bali ni kutoa mawazo mbadala kwa nia na madhumuni kuleta ustawi wa jamii.
Na kiongozi mzuri ni yule anayekubali challenges kwa mustakabali wa jamii nzima. Kwani wote nia ni kujenga na si kubomoa
umeona eeeh!wana ccm hawaipendi tu chadema kwa maneno ila kwa vitendo wanaipenda kupita kiasi....
wana ccm hawaipendi tu chadema kwa maneno ila kwa vitendo wanaipenda kupita kiasi....
CCM ingelikuwa na nia ya kujenga Taifa hili kwa kipindi ilichokaa madarakani, Taifa hili lingeshakuwa walau ni la "kati" na siyo at the "bottom end" of prosperity and economic ranking duniani!!
If you acknowledge kuwa most of CCM MPs maslahi yao kwanza ni kwa ajili ya matumbo yao na ya chama chao, then this would be a step forward!! Kwani muda mwingi you do your best ku-undermine upinzani, at the same time nothing aromatically developmental seem to ever emanate from that big bowl of magamba soup!!