Kweli CCM Tunachukiwa!

CCM imetufanya tumekuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe. Migodi yote wamekabidhiwa wageni na bado haichangii kama tulivokuwa tunachangia sisi pamoja na vifaa vyetu duni. Angalia wafanya biashara ndogondogo wanavyo hangaishwa lakini pia angalia mfumuko wa bei, CCM nani àtawapenda na kwa lipi?
 

Husife mkuu tunakuhitaji sana
 
Kama unachangia campaign za ccm wewe ni hutakiwi kulipa kodi
 
Jamaa wako kikanda zaidi lazima wamtetee mgombea.
Kubalance story yako siku panda basi la DSM kwenda Mwanza au Mbeya au Songea ili upate na mitazamo ya watu sehemu tofauti tofauti ili uweze tengeneza hitimisho lenye kubalance.

Lowasa anakubalika Tanzania mzima
 

Mkuu tulia dawa ikuingie maungoni vizuri kusudi upone,lowasa ni rais na kipenzi cha watanzania wote.
 
Lowasa ndiye rais
 
mkuu mie nimekuja Dar kwa fastjet Leo watu niliokuwa nimekaa nao siti za nyuma sikuona mtu anaeifagilia ccm.nakuambia wanaccm any time wataanza kupigwa mawe
 
Yaani wamtalawe Baba,Mama, Mimi nisipokuwa makini hata watoto wangu watazaliwa kwa CCM... mwaka huu napiga kura CCM basi
 
Subiria baada ya uchaguzi ndo utajua ukitetee au usikiteteee
 
Ccm Pumba Kabisa Yaani Kama Tangazo La Coca
 
Pangia wongo wenu vizuri.Watu wawili wawe na majadiliano makali na watu zaidi ya 20.hao wawili ni makini sana

Naichukia ccm kutoka ndani ya moyo wng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…