Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Kwa mara nyingine tena mtandao wa mafisadi umejipanga. Tena umejipanga kweli.
Wanakuja na Spika wao wa kupika. Wanakuja na "Minority Opposition". Haya tunayaona kwa sababu yanafanyika mchana kweupe.
Lengo lao ni moja tu. Kukidhoofisha ama kukiua kabisa Chama chetu Chadema. Hapo tu wamefulia.......
Muundo wa Chadema uko complicated. CCM (Mafisadi) wanajua. Hatuwaogopi na Tuko Tayari: Chadema tuna Wasomi. Hakuna hoja yoyote ya kifisadi italetwa kwetu ikapita bila kupanguliwa.
Mapambano yanaendelea.