Elections 2010 Kweli CCM(Mafisadi) Wameshikwa Pabaya

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Kwa mara nyingine tena mtandao wa mafisadi umejipanga. Tena umejipanga kweli.

Wanakuja na Spika wao wa kupika. Wanakuja na "Minority Opposition". Haya tunayaona kwa sababu yanafanyika mchana kweupe.

Lengo lao ni moja tu. Kukidhoofisha ama kukiua kabisa Chama chetu Chadema. Hapo tu wamefulia.......

Muundo wa Chadema uko complicated. CCM (Mafisadi) wanajua. Hatuwaogopi na Tuko Tayari: Chadema tuna Wasomi. Hakuna hoja yoyote ya kifisadi italetwa kwetu ikapita bila kupanguliwa.

Mapambano yanaendelea.
 
Ng'wanangwa mbona unapiga komyuta yako kwa nyundo? Utapata wapi mawasiliano?! Hahahaha! I salute u!
 
Ng'wanangwa mbona unapiga komyuta yako kwa nyundo? Utapata wapi mawasiliano?! Hahahaha! I salute u!

Hahaha, jamaa aliona matokeo ya NEC kwenye website ya NEC yamechakachuliwa na ni tofauti na yale ya vituoni ndipo akataka kupasua laptop kwa hasira. Lakini nilimwona alivyokuwa na hamaki na kumsitua kuwa anaionea laptop bure maana haihusiki na uchakachuaji ndipo akaiacha. Ilikuwa nusra laptop iende na maji!!! boss wangu huyu jamani alikuwa na hasira!!! tuko naye ofisi moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom