Kina Bashe na Msukuma walijifanya kupinga fikra sahihi za mwenyekiti... wakajikuta wamepelekwa nyumbani kwa Lema kwa muda. Mwenyekiti hajaribiwi...Tusishangae kama watabambikiwa kesi na kuwekwa ndani kwa miezi chungu nzima kama siyo miaka. Chezeya Malaika Mkuu weye! Hataki kabisa kujaribiwa.
Nikifatilia kwa makini mkutano mkuu wa CCM hapo Dodoma kweli nimeamini chama hicho kimeamua kufanya mabadiliko makubwa. CCM ni chama tulichokizoea kikifanya mikutano yake mikuu kwa mbwembwe na utoaji rushwa kwa wazi, kinyume na hayo wakati huu nidhamu ni hali juu kwa wajumbe.
Mabadiliko makubwa yalihitajiwa kwenye chama hicho ili kukidhi matakwa ya watanzania na ile tabia ya kuonea aibu ilileta madhara makubwa kwenye chama hicho.
Natoa pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM, Katibu Mkuu na Halmashuri kuu kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kuwaondoa viongozi waliokuwa hawana nia njema na chama hicho. Sasa tusubiri mwaka uchaguzi wa mwaka 2020 tuone chama kipi kitakuwa cha kifisadi, kichaka cha mafisadi ama watetezi wa mafisadi.
Kabisa maana kati ya watanzania milioni 46,watanzania laki moja ndo walijipa hatimiliki ya Taifa letu wao ndo walifaidi utajiri wa nchi yetu kwa kutumia nguvu yao na kufisadi nchi yetu,sasa wanaisoma number.Kuna wengine mpaka walidiliki kutengeneza ARV fake na bado wakashinda kesi.Sasa tumepata Rais makini,tumwache ainyooshe nchi yetu.Àluta contina,JPM kaza kamba heshima ya Taifa letu lazima irejee
Na zitaendelea kudumu,muiteni kama mnavyotaka kumuita,yeye anaendelea kunyoosha nchi.Eti dikteta uchwara wakati dikteta nyangumi mnae kwenye sacosi yenu ,anaebadili gia angani.Mbowe ndo anaeamua nani awe mgombea,aaaaaah jamani jichunguzeni kwanza kabla hamjamnyooshea kidole Rais.By the way ndo Rais ,hata mkimuita majina gani hilo haibadili kuwa yeye ndo Rais....Fikra potofu za udikteta uchwara! ZIDUMU! CCM oyee! CCM oyee!
Sasa hapa kati ya JPM na Mbowe nani dikteta?JIBU RAHISI KABISA,Mbowe ndo dikteta.Afadhali mbowe atakua mwenyekiti wangu wa maisha kuliko magufuli atakaa miaka kumi tu.
Hahaha Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo.Sasa hapa kati ya JPM na Mbowe nani dikteta?JIBU RAHISI KABISA,Mbowe ndo dikteta.
Hakuna cha demokrasia wala nini,Mbowe mwenyekiti wa maisha,mkwepa kodi numero uno,huyu kweli ana uchungu na nchi yetu au ni msaka tonge tu?Hahaha Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo.
Wapo wamejaa tele.Hivi watu wanaosifia huyu mtu na hili lichama mbona huku mtaani huwa sikutani nao?