Zidumu na zitaendelea kudumu hasa katika Tanzania hii ambayo inamuhitaji Magufuli as never before.Zidumu fikra za Mwenyekiti.
Na zitaendelea kudumu,Tanzania mpya inaoenekana.Tunazihitaji sana Fikra za John Pombe Magufuli.Zidumu fikra za Mwenyekiti!!!
Zidumu fikra za Mwenyekiti!!!
Muda wa mabadiliko hauna umri.CCM MPYA,TANZANIA MPYA.Ccm inajipaka mkorogo inajichubua....ili iwe nyeupe...tena inajichubua uzeeni...sipat picha madhara yake
Na mm nichukue fursa hii kuwapongeza lakini basi muishie huko huko msije kwenye nyumba kubwa.Pongezi nyingi kwa President makini John Pombe Magufuli,umakini wake umeonekana hasa katika kutaka kurudisha power kwa wanachi na siyo kwa matajiri wachache,JPM kamata hapo hapo ,maana kuna watu walijiona miungu watu kujirundikia madaraka.
Kwanza kabisa ni jambo zuri sana kwa mgombea wa CCM kupita bila kupingwa kwa awamu ya pili,naona kina upande wa pili wanalalamika wakati wao wenyeviti wao ni wa maisha.
Pili,Tanzania mpya imeonekana,maana mabadiliko yanaonekana.Kila mtu anapata anachostahili.
Go go Mr President usisikilize ya watu wasioitakia mema nchi yetu.Ambao walijinufaisha wao binafsi na familia zao kwa kujigawaia pesa za walala hoi.
As far as CCM ni chama tawala,maana mpaka sasa sijaona mpinzani wa kweli hata baada ya miaka mia moja ijayo,so mabadiliko ndani ya CCM yapo directly propotional to mabadiliko Tanzania nzima.Na mm nichukue fursa hii kuwapongeza lakini basi muishie huko huko msije kwenye nyumba kubwa.
Tafadhalini ndugu zetu.
Mwenyekiti juuu....!!!Zidumu milele.
Zidumu fikra za Mwenyekiti!!!
Mwenyekiti juuu... juuu... juuu zaidiiii!!!....Fikra potofu za udikteta uchwara! ZIDUMU! CCM oyee! CCM oyee!
Mwenyekiti juuu... juuu... juuu zaidiiii!!!
Wasaliti wanaopinga fikra sahihi za mwenyekiti wapigwe... maana hamna namna tena.Na Wasaliti chiniiii chiniiii zaidi wafukuzwe tu! Tumeshawachoka hawa.
Wasaliti wanaopinga fikra sahihi za mwenyekiti wapigwe... maana hamna namna tena.
Àluta contina,JPM kaza kamba heshima ya Taifa letu lazima irejeePongezi nyingi kwa President makini John Pombe Magufuli,umakini wake umeonekana hasa katika kutaka kurudisha power kwa wanachi na siyo kwa matajiri wachache,JPM kamata hapo hapo ,maana kuna watu walijiona miungu watu kujirundikia madaraka.