Katika sehemu ambayo bunge kama taasisi ya utawala ukiwa moja kati ya mihimili mitatu ya dola umeteleza ni hapa, licha ya jitihada zote ambazo IGP mstaafu amezionyesha ktk kupigania amani ya nchi hii muhimili huu umeshindwa kumpa heshima yake, badala yake Kanumba ndo amepewa heshima. Hivi ndo vipaumbele vyetu. Wamelidhalilisha jeshi la polisi ambao ndo msaada mkubwa kipindi cha uchaguziJamani hivi spika na wabunge wako serious na mambo wanoyafanya bungeni? Wanahubiri nchi ina amani na utulivu lakini hawawaenzi wale walioilinda ni aibu bunge kusimama kwa dk moja kumuenzi msanii Kanumba wanashindwa kuwakumbuka Inspector general mstaafu na Mkuu wa majeshi mstaafu waliotangulia mbele ya haki wa na ndio walipigania hii amani na utulivu wanaojivunia? waache kutafuta cheap popularity
Inaogopesha sana kama si kushangaza bunge kusimama dk 1 kumkumbuka kanumba,wakati kuna IGP,ambaye kiutendaji yeye alikuwa kiranja wa police,hajatajwa hata kidogo huu ni uhuni.na tbc 1 inaonyesha live kuaagwa kwake,pale leaders haya maigizo yakitaifa leo.
Hii lazima iingie kwenye kumbukumbu!
Sidhani kama itatokea tena!
Nchi ya mazuzu hii!