Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
tena waende kwa wake zao wafanye mazoezi ya kupunguza ubwabwahao wote ni masifuri tu, who are they kutupangia cha kuongea? wameshiba ubwabwa tu wakwende zao huko.
watu wengine ukiwaangalia tu unawaonea huruma. unapoteza muda tu na magufuli hatakusaidia lolote kwasababu yeye mwenyewe yupo kwenye target ya Mungu.
unajua nimefikiria sana, hata hao vijana wanaojifanya kuongea sana hawapendi kufanya hivyo, usipomsifia yule jamaa au kuonekana unajikomba, unatumbuliwa muda wowote. sasa huko ni kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa....Reaction ya serikali inaonesha ni jinsi gani mheshimiwa magufuri amezungukwa na mataahira ndani ya serikali, ni full povu ili kumkosha JPM utadhani ndio jukumu namba moja kwenye nafasi zao
yule mkuu wa mkoa awe wa kwanza kulaaniwa.Mungu walaani WOTE wasiopenda HAKI na wasiotaka sheria za mungu nakutaka kuzifata za binadamu
wameshaongea, wanasapoti faru john. unataka waongee mara ya ngapi? yule kiongozi wa mkoa wa dsm si umesikia, na yule mwingine.Viongozi wa kislam ongeeni msiludi nyuma
Hio dressing code mi mwenyewe imenishangaza aisee.Inaonekana alikua ametoka kwny maduka ya WOOLWORTH then akaunganisha kwenda kwenye Press.Huyo jamaa alievaa hiyo t-shirt ya levis anaonyesha jinsi gani asivyo seriously.
Teh teh wanaonyesha jinsi walivyoshika hatamu.Hio dressing code mi mwenyewe imenishangaza aisee.Inaonekana alikua ametoka kwny maduka ya WOOLWORTH then akaunganisha kwenda kwenye Press.