Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,602
- 14,398
Mwl: Methali isemayo Dunia hadaa ulimwengu ina maana kuwa Dunia na Ulimwengu ni tofauti "thibitisha"
Mf: ni kweli kuwa Dunia na ulimwengu ni tofauti kwa kuwa Dunia ndio hii tunayoishi na ulimwengu ni mchezaji wa TP mazembe na taifa stars
mwl: Mweeh!
Mf: ni kweli kuwa Dunia na ulimwengu ni tofauti kwa kuwa Dunia ndio hii tunayoishi na ulimwengu ni mchezaji wa TP mazembe na taifa stars
mwl: Mweeh!