Kweli afrika kuna mambo!!

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,822
498
ImageUploadedByJamiiForums1452934253.150309.jpg
 
Sio jambo la kuchekelea.

Fikiria hao watoto watakapokua itakuaje?
 
Hiyo kitu ya kawaida Iringa.... wengine hata mtoto wa miezi mitatu akilia anapewa ulanzi ili kidogo achape usingizi
 
Hata mimi kwetu nimeanza kupewa kileo hata sijatimiza miaka 10. Kwetu tuko watatu, ni mimi tu ndio napiga urabu tena kwa wastani, ndugu zangu hawanywi kabisa. Hata hivyo najiona tunabahati sana kwasababu wengine wa aina yetu walipotea kabisa kwa ulevi wakiwa vijana wadogo
 
Back
Top Bottom