Kwel siku ya kufa nyani.......daaah

Pole sana mkuu kwa kuhara,muite huyo mwanamke aliyekuletea sambusa akija mtie dore la ndumku kisha nusa mala tatu alafu kunywa maji glasi tatu,kuhara kutakata,,sawa tayari nakutakia tiba njema na ugua pole
 
Duh.! Nchi hii utashangaa mtu mwenye mwandiko wa hivi na akili mbovu hivi anapewa ukuu wa mkoa!
 
Nashkuru kiongoz

Hakuna namna mkuu,ndio nchi yetu hii,acha vilaza tule maisha,nyie wenye akil tunategeme mtuandikie speech ,sis hatuna muda huo
Duh.! Nchi hii utashangaa mtu mwenye mwandiko wa hivi na akili mbovu hivi anapewa ukuu wa mkoa!
 
Sasa utaishije,..au kaz unadhan ni lazma kuajiriwa mkubwa?..kaz ni kaz tuu ilimrad inaingiza pesa..au hatujaelewana maana sjaelewa unaposema huhitaj kaz.
Sihitaji.
 
daaah...pole bro,unahara hadi harufu ya uharo inatokea kwenye huu uzi!mmnnnnfuuuuyy
 
Reactions: Auz
Tendo la ndoa kwa demu?! Tendo la ndoa ni kwa mke tu kaka!! Uharo mwema[emoji3] [emoji2] [emoji28]
 
Marekebisho no.3
Sio tendo la ndoa ni kufanya mapenzi. Hilo tendo wanafanya walio na ndoa tu.
Marekebisho.... sio kufanya mapenzi ni kufanya ngono, tena zembe...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…