Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Na bado kila kilichopotea kitakombolewa! Mpaka ccm ifutwe rasmi kwenye ramani ya tz!
huyu jamaa waliojaribu kumponda wanasema elimu yake ina utata lakini uwezo na mvuto wake vinaweza kuwa juu ya uwezo wetu wa kufikiri.Maombi ya prophet Lema hayo.
CC chama kikongwe hamuwezi kufanya chochote nyie
Tunawakaribisha sana lakini wasitegemee ubwabwa na kanga kwetu. Sisi huku tunachangia Chama tuleta ukombozi, hatupo kwa ajili ya pesa. Natumaini wamekuja kwa moyo wa kukomboa nchi yetu
Kwaya ijulikanayo kama Kwaya ya Ng'ombe ya Magu Mjini Mkoani Mwanza yenye watu 45 imejiengua CCM na kuhamia CHADEMA. Wanakwaya hao wamepokelewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Magu ndugu Katinde aliyeongozana na Katibu wa CHADEMA Jimbo la Magu mjini Bahati Simon.
Hii ilikuwa ni Kwaya ya waliyoitumia sana kwenye kampeni na kwenye kila matukio yao na vifaa vyao vyote vya muziki vilitunzwa kwenye ofisi za CCM wilaya ya Magu. Siku mbili kabla ya kuhamia CHADEMA walitafuta kambi ya muda na wakatunga nyimbo za kumsifia Dr. Slaa ambaye atafanya ziara hivi karibuni wilayani Magu.
Safi sana na sipati picha tarehe 9dec 2015 sikukuu itakavyopendeza chini ya Raisi wa kwanza toka opposition,RAIS WA KWANZA TOKA CDM.KAMA UHURU DAY VILE.
mmh,kwaya tena?
Si ndo yale yale ya kuanza kuchezewa ngoma kabla ya hotuba
au kukagua maendeleo?
Waingie kama wana chama tu,kucheza ngoma na kuimba imba
kwaya za ajabu hakuna mda sasa,time is money.
Uongozi mbaya ndo unaiua CCM, mzee wao yeye kazi kuzurura tu nchi za nje na mawaziri aliowaweka si watendaji sasa anategemea nani atakayesimamia? kweli nimeamini ndo maana mikoa mingi ya Puani haina maendeleo kumbe tatizo ndo hilo. Yahani jamaa anaua chama na nchi pia anaiua. Haya msubiri kuokota mipira kwenye nyavy
Safi sana na Tunasubiria kusikia Dkt Limbu akiachia ubunge maana miaka 10 hakuna alichofanya cha maana jimboni kwake
CCM imekuwa nyumba ya udongo, inabomolewa kila kona.
Tunawakaribisha sana lakini wasitegemee ubwabwa na kanga kwetu. Sisi huku tunachangia Chama tuleta ukombozi, hatupo kwa ajili ya pesa. Natumaini wamekuja kwa moyo wa kukomboa nchi yetu