KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Mar 4, 2012 #1 uu leo nipo Sumbawanga ila nimesikia RADI zina madaraja!!Kuna ya 1000,3000,5000,7000,10000,300000!!! Hiyo ya 30000 inazidi BM!Kwahiyo anayehitaji apm!!
uu leo nipo Sumbawanga ila nimesikia RADI zina madaraja!!Kuna ya 1000,3000,5000,7000,10000,300000!!! Hiyo ya 30000 inazidi BM!Kwahiyo anayehitaji apm!!
Bambanza jr. JF-Expert Member Joined Aug 6, 2011 Posts 355 Reaction score 36 Mar 4, 2012 #2 Ucnikumbushe uko nyasa mvua kdogo radi inaondoka na roho za watu!
Jakubumba JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 1,624 Reaction score 501 Mar 5, 2012 #3 Kwanini wasibomoe hayo madaraja ili hizo radi zianguke zife?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,686 Mar 5, 2012 #4 Kuna nyongeza? Discount je?