Kwata!

Kwata!

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,600
Reaction score
1,089
Heshimaaa...kulia!!!!
 

Attachments

  • SALUTI.JPG
    SALUTI.JPG
    154.2 KB · Views: 524
Wamependeza sana! Na huko waendako kuna JKT inawangoja.
Ni shule gani hii Mkuu? St. RizOne?.. au!
 
safi! enzi za mchakamchaka wa asubuhi shule za primary zirudishwe haraka sana
 
Hamna kitu apo. they have to do alot to get there. we need perfection sio ubabaishaji.
vikizeeka hivi vitakuwa legelege sana.

except kwa mikono yote ya kulia kuwa kichwani.
all other features of the parade are pathetic
 
safi! enzi za mchakamchaka wa asubuhi shule za primary zirudishwe haraka sana
<br />
<br />
umenikumbusha mbali sana. Jua lile literemke mama....... Aiaiaiaia mama.
 
Kweli waliko ni mwanzo tu mpaka kuja kufikia level ya chuo watakua wanasoma kwenye historia rais aliyeboronga zaid TZ
 
mambo ya maadili huanza kwawazazi, waalimu na halafu wanafunzi ,hapo hta ukakamavu ,ujuzi,na maarifa hujitokeza cheki wanavyokubalika
 
Maandalizi ya kuja kuwa bodyguards wa MAGAMBA
 
Back
Top Bottom