kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 968 Reaction score 2,442 Feb 11, 2026 #781 Tutaanza jumatano Tuandae mioyo yetu kwa ajili ya ibada hiyo
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 968 Reaction score 2,442 Feb 11, 2026 #782 BWANA awabariki sana
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,230 Reaction score 18,331 Feb 12, 2026 #783 hatimaye kwaresma na Ramadhani kuanza kwa pamoja cc secretarybird
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,527 Reaction score 29,110 Feb 12, 2026 #784 Monetary doctor said: hatimaye kwaresma na Ramadhani kuanza kwa pamoja cc secretarybird Click to expand... Njia ya msalaba inaanza lini?
Monetary doctor said: hatimaye kwaresma na Ramadhani kuanza kwa pamoja cc secretarybird Click to expand... Njia ya msalaba inaanza lini?
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 968 Reaction score 2,442 Feb 14, 2026 #785 secretarybird said: Njia ya msalaba inaanza lini? Click to expand... Kwaresma ina Anza jumatano Njia ya msalaba ni ijumaa
secretarybird said: Njia ya msalaba inaanza lini? Click to expand... Kwaresma ina Anza jumatano Njia ya msalaba ni ijumaa
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 968 Reaction score 2,442 Feb 14, 2026 #786 Monetary doctor said: hatimaye kwaresma na Ramadhani kuanza kwa pamoja cc secretarybird Click to expand... Kwaresma ina Anza jumatano Ramadan lini?
Monetary doctor said: hatimaye kwaresma na Ramadhani kuanza kwa pamoja cc secretarybird Click to expand... Kwaresma ina Anza jumatano Ramadan lini?
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,230 Reaction score 18,331 Feb 14, 2026 #787 kiss daniel said: Kwaresma ina Anza jumatano Ramadan lini? Click to expand... Jumatano hiyo hiyo
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,230 Reaction score 18,331 Feb 14, 2026 #788 secretarybird said: Njia ya msalaba inaanza lini? Click to expand... Ijumqq ijayo
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,486 Reaction score 3,352 Feb 14, 2026 #789 .
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,527 Reaction score 29,110 Feb 14, 2026 #790 kiss daniel said: Kwaresma ina Anza jumatano Njia ya msalaba ni ijumaa Click to expand... I love that! Let's go 🔥!
kiss daniel said: Kwaresma ina Anza jumatano Njia ya msalaba ni ijumaa Click to expand... I love that! Let's go 🔥!
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,527 Reaction score 29,110 Feb 14, 2026 #791 Monetary doctor said: Ijumqq ijayo Click to expand... 🔥🔥🔥
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,348 Feb 17, 2026 Thread starter #792 Monetary doctor said: hatimaye kwaresma na Ramadhani kuanza kwa pamoja cc secretarybird Click to expand... Sisi kwaresma tunaanza jumatano
Monetary doctor said: hatimaye kwaresma na Ramadhani kuanza kwa pamoja cc secretarybird Click to expand... Sisi kwaresma tunaanza jumatano
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,348 Feb 17, 2026 Thread starter #793 secretarybird said: Njia ya msalaba inaanza lini? Click to expand... Njia ya msalaba ijumaa Una miaka mingapi hujawahi kwenda kusali?
secretarybird said: Njia ya msalaba inaanza lini? Click to expand... Njia ya msalaba ijumaa Una miaka mingapi hujawahi kwenda kusali?
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,348 Feb 17, 2026 Thread starter #794 Karbuni sana tena kwa mara nyingine tena kwenye kipindi hiki cha kwaresma
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,348 Feb 17, 2026 Thread starter #795 Kwaresma ni kipindi cha toba ambacho hudumu kwa siku 46
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,348 Feb 17, 2026 Thread starter #796 Karbuni sana
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,900 Reaction score 31,686 Feb 17, 2026 #797 kiss daniel said: Kwaresma ina Anza jumatano Ramadan lini? Click to expand... Kuna watakaoanza kesho (jumanne) na kuna watakao anza jumatano.
kiss daniel said: Kwaresma ina Anza jumatano Ramadan lini? Click to expand... Kuna watakaoanza kesho (jumanne) na kuna watakao anza jumatano.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,527 Reaction score 29,110 Feb 17, 2026 #798 Beira Boy said: Njia ya msalaba ijumaa Una miaka mingapi hujawahi kwenda kusali? Click to expand... Takribani 19.
Beira Boy said: Njia ya msalaba ijumaa Una miaka mingapi hujawahi kwenda kusali? Click to expand... Takribani 19.
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,348 Feb 17, 2026 Thread starter #799 Hance Mtanashati said: Kuna watakaoanza kesho (jumanne) na kuna watakao anza jumatano. Click to expand... Leo Kuna watu wamefunga kweli? Labda suna
Hance Mtanashati said: Kuna watakaoanza kesho (jumanne) na kuna watakao anza jumatano. Click to expand... Leo Kuna watu wamefunga kweli? Labda suna
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,348 Feb 17, 2026 Thread starter #800 secretarybird said: Takribani 19. Click to expand... Acha mzaha ndugu yangu Shetani anawapenda sana watu wenye mizaha mizaha Na mzaha limekuwa ni lango la shetani mda mrefu sana Mtumish Anza kwenda kanisani sana ndugu yangu
secretarybird said: Takribani 19. Click to expand... Acha mzaha ndugu yangu Shetani anawapenda sana watu wenye mizaha mizaha Na mzaha limekuwa ni lango la shetani mda mrefu sana Mtumish Anza kwenda kanisani sana ndugu yangu