Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Tumekuwa pamoja kuanzia kwaresma tukaja PASAKA Kisha kupaa kwa BWANA na leo pentecoste
 
YESU aliyetufia msaban sasa amerud zake kwa baba

Katuachia nguvu ya ROHO MTAKATIFU

Tuendelee kuiomba nguvu hiyo ifanye kazi katika maisha yetu
 
Back
Top Bottom