Kwaresma na Pasaka Special Thread

Usisahau kwenda kanisan kesho


Masomo ya kesho
Mwanzo 15:12-15-17
Filipo 1:8-10
Luka9:28-36
 

Attachments

  • Screenshot_20250315-222503.png
    609.8 KB · Views: 5
Sala ya mtakatifu Teresa wa mtoto YESU

MT THERSIA UA DOGO NINA KUSIHI UNICHUMIE WARIDI KUTOKA KWENYE BUSTAN YA KIMBIGU NA UNITUMIE PAMOJA NA UJUMBE WA MAPENDO
UMWOMBE MUNGU ANIJALIE FADHILI NINAYO OMBA, NA MWAMBIE KUWA NITAMPENDA ZAID NA ZAID KILA SIKU

AMINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…