mi naskiaga ila sijawai kujaribu mi wa kwangu ananukia unyunyu balaa! yaani akikupita tu lazima uvue nguo umfatekumbe limau inasaidia eeh dozi yake amsugue mara ngapi kwa siku?
cc Smile
mi naskiaga ila sijawai kujaribu mi wa kwangu ananukia unyunyu balaa! yaani akikupita tu lazima uvue nguo umfate
kumbe limau inasaidia eeh dozi yake amsugue mara ngapi kwa siku?
cc Smile
ahahaaa umesikia eeeh yaani unajipeleka mzima mzima mwenyewehahahaaa....! ndio huyu aliyenipita sasa nini.. maana unyunyu huo eh!
Mimi ni mdada mwenye
umri wa miaka 27.Nina
uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri wa miaka 33 kwa muda wa miezi mitano sasa. Tatizo langu ni kuwa kila tufanyapo
mapenzi huwa nashikwa na
chafya kali sana.Chanzo chake ni kwapa ya mpenzi wangu ..
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini maana kwenye suala la
usafi sijaona kama ni tatizo kwake.Kabla ya tendo huwa tunaoga pamoja na humsugua sana tu.. Tukishafika kitandani kwapa hutoa harufu utadhani hajaoga mwezi mzima yaani hata hamu ya tendo huniishia, kuziba pua nashindwa, nikihofia kwamba
atanielewa vibaya.Kwa hiyo huwa navumilia tu ili mradi amalize hamu yake... Jamani, naombeni msaada ili
uhusiano wangu usivunjike maana bado nampenda mpenzi wangu. Maadam A.
Nimeitoa sehemu hiyo nimemuonea huruma nikaona nishee na wana MMU wenzangu labda akiingia JF atasoma maoni yenu
Etiii????pole bestito kwa masahibu hayo
uenda ana tatizo na ugonjwa wa ini
hivyo mshauri aende hospital akapime utra sound
achek ana natatizo gani kwani viuungo vya ndani kama
vimeoza hutoa harufu nje na kuleta kero kwa wale
wakuzungukao kwani wewe binafsi huwezi jitambua mapema
Usimfanyie soup mana soup zina bacteria nyingi lakini zinasaidia katika mapigo, labda wewe mwanamke unapenda sana kipigo cha soup kwa hio lazima uvumilie kijasho cha kwapa, kama unampikia mme wako soup ya miguu ya beberu.
Research zingine zinasema wanawake wengi sana wanapenda kunusa kwapa la waume zao, we naona uko vingine kabisa na wanawake wengine.