cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,148 Reaction score 1,851 Sep 29, 2026 #1 habar ya kwenu wakazi wa jjiji la miamba leo hii sina mambo mengi ya kuzungumza na nyinyi ispokuwa naomba kama kuna mtu yeyote hapa Mwanza anayejia chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar tafadhal naomba anijuze asanten nawasilisha
habar ya kwenu wakazi wa jjiji la miamba leo hii sina mambo mengi ya kuzungumza na nyinyi ispokuwa naomba kama kuna mtu yeyote hapa Mwanza anayejia chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar tafadhal naomba anijuze asanten nawasilisha