Kwann views ni nyingi kuliko comments?



Kweli jamii inteligence ni bonge la jukwaa Mimi huko ndo huwa kituo changu pendwa.

Kwakweli MMU kumejaa mada za hovyo hovyo tu.[/QUOTE]MMU kuna mada hovyo wanaume wazima great thinker eti wanafundishana kumvizia housgirl hata FB hamna ujinga huo, zamani MMU was best kwangu ila sikuhizi mada hovyo hovyo.

Wooi bora tu niwe nakesha jamii intelligence najifunza vingi muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sababu unakuta umefungua thread (umeview) lakini haijakuimpress unaiacha (hujacoment) hiyo ndio sababu
 
Comments nyingi zinategemea na topic kwa thread husika,,

Leta topic inayohusu kuvua.na nguo,=comments nyingi

Leta mada nyingine =comments chache

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kweli jamii inteligence ni bonge la jukwaa Mimi huko ndo huwa kituo changu pendwa.

Kwakweli MMU kumejaa mada za hovyo hovyo tu.[/QUOTE]Hata huko jamii intelligence siku hizi watu hawaleti nondo kama zamani ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefuatilia thread nyingi sana unakuta 90k views ila 1k comments...nimejiuliza sipati majibu...ni kwann
Mbona iko simpo sana. Kuna members wana id na wanalogin, anasoma c9mment ila hacommemt na kuna wengine sio members ila ni wasomaji. Mfano mimi nimekuwa nasoma JF toka 2016 ila nimejiunga rasmi mwaka huu.
 
Unasoma uzi, unapata elimu then huoni cha kukoment, unatoka.

Unasoma uzi, unakutana na vitu vya ajabu ajabu tu, unaupuuza.

Unasoma uzi, unakutana na marudio ya mambo ambayo yalishawahi kujadiliwa, unaachana nao.

Kuna wanaoview nyuzi kama guests, hawawezi kuchangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…