Kwann nimewah kuoa!!!


Mtu kipupwe bwana! Naamini ukimwambia mtu ukweli hawezi kukudhalilisha, ukimficha, yakija kufichuka utaomba uchimbe shimo ujifiche. Hapa K'ndoni moto ukiwaka natimua mbio kwenda Kimara! Nakaa kwenye kipupwe huku nashushia baridi moja na kitimoto haalooohalooo mambo yanakwenda!
 
Hahahahahaahahaaaaaaaa! unanifanya nicheke kwa nguvu mpk wananishangaa hapa ofizini! Wiyelele, Loh! Mkeo angeyajua hayo naona angefanya kila njia kurudisha hali ile kama mlivyokuwa wakati wa uchumba wenu , Loh!
 
Haaaahaaaa kweli kupenda kugumu kuliko kutamani
 
Mh! Wewe utanipa nn! Ctak dushelele lako, hapa ni materials thngs! Dushelele la mkeo hlo! Mh! Upo hapo WIYELELE!

kikikkiki, anyway mi itategemea una shape gani, pia kama una mapepe tu hunifai. Kama una elimu ya chuo kikuu kaa pembeni. Kama unamelemeta dhahabu kila mahali hunifai. Mi nataka 'Cool lady" ambaye naweza nikakaa nae tukacheka, maana nina kama miaka 3 sijawahi kucheka. Nataka mtu ambae naweza nikamuamini, sio zoa anaetaka kunizolea nilichonacho. Awe muaminifu nitakaekuwa nae hata nikifirisika! Je sifa hizi unazo?
 

Hapo kwenye bluu huwezi ukampenda wakati umeoa, hapo unakuwa umemtamani tu,,,,,,,,,,,,,ni vizuri kuwaambia tu nataka nikugegede basi......!!
 
Lisa... Kwa hiyo wewe unawapa hao waliooa verse za kutumia kutongoza totoz eeeeee???

Shauriloooo..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hizo ni gia za kutongoza tu,na mbinu hizo wadada wameshazishtukizia,wala hazivutii tena.mtu akwambie hivyo mtu na akili zako unajua tu ni utapeli wa mapenzi
 
Ahhh siwezi hata siku mmoja kumlet-down mke wangu, kama yule mwanamke kanivutia...tamsifia tu kwa kusema hivi; Unajua wife alikuwa mzuri sana na wewe unamkaribia karibia sijui nikufanye uwe second wife wangu:biggrin:

Haha haaaaaaaaaaa... Peopleeeez mnafurahisha kweliiiiii!

"Unajua wife alikuwa mzuri sana na wewe unamkaribia karibia sijui"

BTW fazaa ulimaanisha alikuwa mzuri (zamani??? ).. Kwani sasa yupoje lolz.. Kachuja??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Zote ninazo! Weye 2 WIYELELE! Upo hapo!
 
hizo ni gia za kutongoza tu,na mbinu hizo wadada wameshazishtukizia,wala hazivutii tena.mtu akwambie hivyo mtu na akili zako unajua tu ni utapeli wa mapenzi

Ungeleta hapa mbinu mpya ili tuzinakili na kuzitumia kwa wale ambao sio wanachama wa JF.
 
wanaoumia ni wale wasiopenda kutoa jasho,wanapenda bure bure tu

Ndo maana nataka wakuniwezesha 2! Ctoi pichu yangu mpaka nione k2 cha maendeleo! Cdanganyiki jamani! Hamna cha bure! Evrythng has a price BABAJONII,upo hapo! Inategemea wat z ur price!
 
sasa inakuaje bint mzuri anakukubalia muwe ktk mahusiano hali unamtoto na mke wa ndoa nayey anatambua hilo,naanadiriki kusema anaomba umpe mimba? Naanaboy friend?
 

hapo umenena, hawana maana kabisa hawa wanaume waliooa.
utashangaa mtu anakukaribisha hadi kwa kitanda anacholala na mkewe tena bila woga kbs.
 
Lisa... Kwa hiyo wewe unawapa hao waliooa verse za kutumia kutongoza totoz eeeeee???

Shauriloooo..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hapana sijawapa verse, na wala usifikiri nimefurahia, maana hata mm nipo ndani ya ndoa, ila nakutana na hayo mambo, ndipo unaanza kushangaa mtu anamsagia mkewe ile mbaya, sasa ukijuiliza kuwa kama mkewe anamsema hivyo je wewe? na ihali anaona kabisa umevaa pete ya Ndoa . Sijui huwa wanawaza nn.
 

Well Lisa point noted
 
Last edited by a moderator:
Zote ninazo! Weye 2 WIYELELE! Upo hapo!
Zanzsco na Wiyelele, nawaruhusu muende mkafanye maongezi yenu pembeni kidogo maana hapa tunasikia wengi(PM)
 
Hapo kwenye bluu huwezi ukampenda wakati umeoa, hapo unakuwa umemtamani tu,,,,,,,,,,,,,ni vizuri kuwaambia tu nataka nikugegede basi......!!
Inaonyesha Katavi bado hujayaona ya Dunia, wapo wanaopenda, na wanawaweka kinyumba kabisa, na kwa kwenda kwao kujitambulisha, unakuta mto nyumani kwake kunawaka mtu, kapata pa kupumzika, si anaweka makazi? kwani hujawahi kuona mtu kafunga ndoa ya kanisani lakini ana wake wawili? Uliza utaambiwa au kuonyeshwa kabisaaaaaa!

Cc Wiyelele.
 
neggirl , na nani kasema kachuja, nilikuwa naongelea past tense wakati ule nilipo muona wife, sa we naona umenda mbali na Yeah uzuri wake wa mwanzo si kama sasa lakini hata hivyo sidhani kama unaweza kumshinda uzuri...na wakati yeye kisha zaa mkiwekwa pamoja watu watasema yeye ni mdogo kwako...hapa sikutanii nakupa 100% sure, na kama unabisha na kukaribisha nyumbani ikiwa we kweli mwanamke ujionee mwenywe, kama hujasema kuna wanaume wengine wanajua kuchagua wanawake wazuri:biggrin:
 
Zanzsco na Wiyelele, nawaruhusu muende mkafanye maongezi yenu pembeni kidogo maana hapa tunasikia wengi(PM)

Mi nampigia salute Zanzsco. Pamoja na kwamba kwangu kunawaka moto, naona kama "Air conditioner" haiwezi kuwa Zanssco. Naona kama nae anamatatizo lukuki na mmewe. Nahisi mme wake ni mbahiri sana, pia nadhani hawezi kazi. Sidhani kama wana maendeleo kihivyo maana Zanzsco anataka mtu material (mbali na mme wake). It means her current husband is material-less!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…