Tetesi: Kwann chadema kinashinda zaidi majimbo ya mjini?

j kisumu

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
289
236
Naomba kueleweshwa kwann hiki chama kikuu cha upinzani nchini tz kimeonekana kushinda zaidi katika majimbo na majiji makubwa kama dar , arusha , Kilimanjaro, mbeya mjini , mwanza , bunda , tarime, iringa na kwingineko kuliko vijijini? Au kuna relation na ule utafiti wa twaeeza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THUBUTU YAO 2020, WALIBAHATISHA TU KUTOKANA NA RICHMOND YA LOWASA, AMBAYO ILIZAA IPTL HADI ESCROW ZA WENGINEO.
SASA HIYO LOOPHOLE HAIPO TENA.
MWANZA IONDOE KWENYE ORODHA YAKO HAPO.

Kuna Wapumbavu wengi.

Rubbish in TL voice.

Ukweli ni kwamba mijini Ndio wana experience matukio mengi,then wa mijini wanaelewa nini kinaendelea nchini,wa mijini Hata wakipewa khanga na ma t shirt na kofia hazitatui changamoto zao,lakini pia akili inafunguka huko mijini ambako wanakutana na watu kutoka sehemu mbalimbali na Ku make up their mind.

Cc BAK
 
Wasomi Na Watu Wenye Uelewa Mkubwa Huishi Town. Mjini Utampa Mtu Kanga, Flana Au Kofia Ya CCM Af Akupe Kura? Kjjn Akipewa Elf10 Ni Nyingi Na Hzo Nguo Kwao Ni Zakutokea Yaani. Kashfa Hyo Ilimkuta Mwakalebela Iringa Town Raia Wakamchoma Akaishia Mikonon Mwa Dola. Km Kuna Miji Walishnda Bac Ni Ya Mikoa Yenye Mwamko Mdogo Kielimu Au Kuna Rafu Ilichezwa Km Jimbo La Mbagala Au Walimnunua Mgombea. Mambo Ndo Yapo Hvo.
 
Sasa hiyo loophole haipo tena. MACCM ni chama kisafi sana kimewaondoa wahuni, mafisadi, wezi, watoa rushwa na wapokea rushwa na majangili. Kama ndiyo hivyo basi 2020 hakuna haja tena ya kuhofia uchaguzi huru na wa haki kupitia katiba ya rasimu ya warioba na tume huru ya uchaguzi halafu tuone Watanzania watafanya maamuzi yepi kuhusu chama ambacho wanataka kiongoze nchi yetu pale Ikulu na Bungeni. Na hata Pole pole ukweli anaujua lakini njaa mbaya sana ni lazima ajibaraguze ili aweze kwenda choo.

CC: Maserati

Kawaida miji mikubwa huwa inakuwa na watu wengi wenye ueleawa mpana wa kuchambua mambo kwa mapana na namarefu, means wengi nimacounsiness zaid, maawareness ya kutosha, maexposure kiana yanayoleta maanalysis ya kina pia na marisk taker amabayo hureveal mabadiliko kwa jamii, afta ol theory pia zinadescribe kwamba changes zinaanzia centra to peripherol uko mkuu. Hii ni perception yangu tu mkuu!!!
 
THUBUTU YAO 2020, WALIBAHATISHA TU KUTOKANA NA RICHMOND YA LOWASA, AMBAYO ILIZAA IPTL HADI ESCROW ZA WENGINEO.
SASA HIYO LOOPHOLE HAIPO TENA.
MWANZA IONDOE KWENYE ORODHA YAKO HAPO.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jibu ni moja tuu

Chadema inapendwa na vijana, wasomi na wajanja

Ccm inapendwa na wajinga , wasiosoma , na washamba
Idadi kubwa ya Wapenda vya dezo dezo ipo Mjini !

Naomba kueleweshwa kwann hiki chama kikuu cha upinzani nchini tz kimeonekana kushinda zaidi katika majimbo na majiji makubwa kama dar , arusha , Kilimanjaro, mbeya mjini , mwanza , bunda , tarime, iringa na kwingineko kuliko vijijini? Au kuna relation na ule utafiti wa twaeeza?

Sent using Jamii Forums mobile app

Na mimi nimesikia watu wanasema hivyo, ngoja wakija wajuzi watatujuza.

Wajanja wote wapo mjini

sent from my Makinikia 7 using jamiiForums mobile app

Tangu lini watu wa vijijini waka-reason kwa kiwango cha dhahabu? Wao huishia ku-reason kwa kiwango cha makinikia.

Kuna Wapumbavu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Rubbish in TL voice.

Ukweli ni kwamba mijini Ndio wana experience matukio mengi,then wa mijini wanaelewa nini kinaendelea nchini,wa mijini Hata wakipewa khanga na ma t shirt na kofia hazitatui changamoto zao,lakini pia akili inafunguka huko mijini ambako wanakutana na watu kutoka sehemu mbalimbali na Ku make up their mind.

Cc BAK

Uko kila mtu anavaa kwa pesa yake sio kusubiri sare pia uko chumvi inapatikana kirahisi sana

Wasomi Na Watu Wenye Uelewa Mkubwa Huishi Town. Mjini Utampa Mtu Kanga, Flana Au Kofia Ya CCM Af Akupe Kura? Kjjn Akipewa Elf10 Ni Nyingi Na Hzo Nguo Kwao Ni Zakutokea Yaani. Kashfa Hyo Ilimkuta Mwakalebela Iringa Town Raia Wakamchoma Akaishia Mikonon Mwa Dola. Km Kuna Miji Walishnda Bac Ni Ya Mikoa Yenye Mwamko Mdogo Kielimu Au Kuna Rafu Ilichezwa Km Jimbo La Mbagala Au Walimnunua Mgombea. Mambo Ndo Yapo Hvo.
 
Sasa hiyo loophole haipo tena. MACCM ni chama kisafi sana kimewaondoa wahuni, mafisadi, wezi, watoa rushwa na wapokea rushwa na majangili. Kama ndiyo hivyo basi 2020 hakuna haja tena ya kuhofia uchaguzi huru na wa haki kupitia katiba ya rasimu ya warioba na tume huru ya uchaguzi halafu tuone Watanzania watafanya maamuzi yepi kuhusu chama ambacho wanataka kiongoze nchi yetu pale Ikulu na Bungeni. Na hata Pole pole ukweli anaujua lakini njaa mbaya sana ni lazima ajibaraguze ili aweze kwenda choo.

CC: Maserati

Njaa mbaya na polepole itamuua
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naomba kueleweshwa kwann hiki chama kikuu cha upinzani nchini tz kimeonekana kushinda zaidi katika majimbo na majiji makubwa kama dar , arusha , Kilimanjaro, mbeya mjini , mwanza , bunda , tarime, iringa na kwingineko kuliko vijijini? Au kuna relation na ule utafiti wa twaeeza?

Sent using Jamii Forums mobile app

Check na msimamizi wa uchaguzi anajua wapiga kura wake
 
Sifa ya watu wa kijijini
1. Wengi hawajasoma(WAJINGA)
2. Wengi maskini
3. Wengi hupitwa na matukio
4. Wengi wazee
5. Ni rahisi kufuata upepo (kutongozwa na wanasiasa waongo kwa propaganda)
NB: NAMBA MOJA NDO MTAJI WA CHAMA TAWALA NA NDYO MANA HAWANA MPANGO WA KUBORESHA ELIMU..
 
Back
Top Bottom