Naomba kueleweshwa kwann hiki chama kikuu cha upinzani nchini tz kimeonekana kushinda zaidi katika majimbo na majiji makubwa kama dar , arusha , Kilimanjaro, mbeya mjini , mwanza , bunda , tarime, iringa na kwingineko kuliko vijijini? Au kuna relation na ule utafiti wa twaeeza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app