Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
mmh! kumekuchaaaaa!!!
Hawatasema wanataka nini maana hawajui mpaka sasa wanataka nini
hawajielewi na wala hawaelewi ni nini wanachopigania
umeona ehhh
Wanaclaim rights ambazo hawaziwezi wala tukiwapa hawataweza kuzitumia
Wanaclaim kuwa mbele wakati wakiwekwa mbele au wakipewa hicho wanachokitaka hawawezi kukitumia
Ni kama they claim what they can not afford
Ni ngumu sana kuwaelewa wanawake wanataka nini maana wenyewe hawajui wanataka nini!!!
wanajaribu kushindana na maandiko matakatifu hawajui kilichoandikwa kimeandikwa
.....ishini na wake zenu kwa akili maana wao ni viumbe dhaifu......
after comments then????..... What 4...........comment please!!
Bado hawajajijua kama wao ni dhaifu, siku wakijijua watastep down. na wataacha kuchonga.Ni ngumu sana kuwaelewa wanawake wanataka nini maana wenyewe hawajui wanataka nini!!!
wanajaribu kushindana na maandiko matakatifu hawajui kilichoandikwa kimeandikwa
.....ishini na wake zenu kwa akili maana wao ni viumbe dhaifu......
ehe.! kwaio ndo haki mnayo taka.¿ ina maana we hujapendwa bado..?Tunataka kupendwa
Ni ngumu sana kuwaelewa wanawake wanataka nini maana wenyewe hawajui wanataka nini!!!
wanajaribu kushindana na maandiko matakatifu hawajui kilichoandikwa kimeandikwa
.....ishini na wake zenu kwa akili maana wao ni viumbe dhaifu......
Bado hawajajijua kama wao ni dhaifu, siku wakijijua watastep down. na wataacha kuchonga.