Kwanini Zoezi la kuzima simu linahusisha Sita tatu (666)?

Wakuu habari zenu

Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini zoezi la kuzima simu linahusisha Sita tatu namaanisha tarehe Sita mwezi wa Sita mwaka 2016 tukiziunganisha tunapata jumla ya Sita tatu yaani 666 hivi hii inakuaje kwa hawa freemason?
Jaman kwan muda bado tuu
 
Eti kwani wewe ulikuwa miongoni mwa wale wa udom au?
 
Hiyo tarehe si zinazimwa Tanzania tu.. Kwani umeambiwa dunia nzima
Kwani freemason tz haipo au umekariri

Back
Top Bottom