Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Haha..yeye anakimbizwa na kivuli kipi cha CDM au cha usaliti wake?Huwa hajaacha itaka ktk kila tukio la kujisha jina.
 
Kasahau wale wanaofanana na yeye. Anakumbushwa aje awachukue.
 

Naona mmekuja na moto kuliko hata ule wa LB 7, sijui mnalipwa nini? Lumumba nao siku hizi wako hoi bin taaban, tunawasubili nanyi bando za bure ziishe pia!
 

Hakuna cha hoja ya mantiki wala nini na hakuna anae mfuatilia huyo kima wenu wa CCM B. Kinacho pingwa hapa ni udhalimu wa ccm, hiii ni pamoja na chama chao cha act walichokianzisha.

Naomba kwa Mungu hiki chama kisipate mbunge hata mmoja. Ni chama chenye vijana wezi na walafi kuliko ccm mama
 
Kaka umesahau chadema walitoa walaka wa kumshutumu zito, ndani yake walimshutumu zito amewekewa pesa katika akaunti ya mwanamke huko German, pia mambo mengi kuhusu usaliti wake.
Semea hilo ewe kibaraka wake.

Hizo ni tuhuma,mimi nikisema wewe umetembea na mke wa jirani yako tayari ni tuhuma,kwa hiyo swala sio kumpa mtu tuhuma swala zina ukweli gani na mtuhumiwa anapewa vp nafasi ya kujitetea.Kumbuka Tuhuma Zote alizopewa but He was not given a chance ili ajitetee.Usinirudishe huko nyuma kuna mengi sana Chadema wamemfanyia huyu kijana ndivo sivyo ilimradi tu wenye chama yao yaende.
 
ACT mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Jengeni chama chenu msitafute kiki kupitia chadema. Kujenga chama sio kazi ndogo muulizeni Hashim Rungwe au Dovutwa.
uko sahihi at maximum.
 
hakuna mwenye muda wa kuhangaika na Zitto ambaye ameshaamua kujimaliza mwenyewe.
 
Wanatapatapa, wanazidi kumjenga.

Anajengwa :what: kivipi uongo haufungwi kwenye bahasha mjomba kila kitu kinajulikana zito ni msaliti, na mnafiki wewe unafikiri kukijenga chama ni kama kujenga nyumba ya tope ? Kuni unakata, tope lipo nyasi za kuezekea zipo atasugua sana kisino .
 
Hivi kwa nini mashabiki wa ccm ndio hao hao wa act? Wakati wa uchaguzi mkuu ccm na act mtaachiana majimbo ili kutogawa kura zenu?

Mkuu hebu onyesha wapi nimeishabikia ACT? Mimi ninachofanya ni kuzuia upotoshaji unaofanywa na BAVICHA.
 
Dhambi ya usaliti itazidi kumwandama popote atapokwenda.
 
Mkuu hebu onyesha wapi nimeishabikia ACT? Mimi ninachofanya ni kuzuia upotoshaji unaofanywa na BAVICHA.

Team ya ccm mnajitahidi sana kujipendekeza ACT au mnatetea wahuni wenzenu .
 
Tawa umezaliwa siku gani wewe mbona una akili saana anayebisha ni shabiki na hana uzalendo wa nchi yake au ni mkimbizi au.... ..

Ishu si tarehe ya kuzaliwa kamanda, ishu ni kuuzungumza usaliti ambao upo wazi kabisa kamanda
 
Nice idea Tawa kamanda wa ukweli endelea kutuletea mamboz kama hizo
 
Hakika kwa muda mwingi nilidhani chadema wanamsingizia kwa sababu ya maslahi ya kimadaraka ndani ya chama

Huyu ni zaidi ya msaliti yaaani ni muuwaji wa demokrasia halafu anajificha chini ya mwavuli wa uzalendo lakini kizuri ni kwamba Mungu huwa hamfichi mtu mnafiki anamuumbua tuombe uzima
 
Mzee Sitta aliwahi kusema ukiamua kuwa mwanasiasa lazima uwe na ngozi ngumu siyo ukigushwa kidogo na kuchubuka unaanza kulalamika, hata ukilalamika hawataacha kukushambulia. Zitto ni mtu maalaufu kuondoka Chadema ni wimbi amabalo haliwezi likapita kimya kimya, wale ambao hawako upande wake watamfanyia vitimbi na wale walio upande wake watamsifu na kumtetea. Ni jambo la kawaida katika siasa. Yeye pamoja na wale walioupande wake wanapashwa kuwa na ngozi ngumu, siyo kulalamika kwa kila jambo analokutana nalo, yatatokea tu, ndiyo siasa hizo, fainali ya hayo yote ni Oktoba 2015.
 
View attachment 241640
ccm haiwezi kuendelea kutawala tena hilo mimi nalipinga kutofautiana ndani ya chama ni hali ya kawaida kwa kila chama mbona ccm kumejaa makundi mengi sisi hatusema au nyie wenyewe hamuoni.kwa sasa ccm ilipofika uwezekano wa kuendelea kutawala hamna tena UKAWA ndo tumaini jipya kwa watanzania wote miss chagga karibu kwenu ukombozi.
 
Last edited by a moderator:
Teh bavicha bwana mnachekesha sana'. Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe.
Vp ulitaka kwanza akalime kama mwaka mmoja hv kabla hajaenda act?

Ccm mnatapatapa sana tunajua wazi zito ni salia lenu ila kwa sasa mmechelewa wale watanzania wa miaka ile sio wa leo mtaumbuka mchana kweupeee.
 
Tuache utani yani mtu anaanzisha chama akiwa ndani ya chama halafu tumwache hilo halitawezekana ndani ya CHADEMA .
 
Hakuna mtu atakyekujibu uhuo uharo wako, msaliti padre slaa aliyelelewa na ccm sa ivi na yeye anautaka URAHISI, au hujui hilo

Hawa ndio vijana wa ccm waliopo kwa sasa mnahitaji maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…