hivi ushawishi alionao ZZK unaanzia wap kusema et anajuta? ZZK akiitisha mkutano mkoa wowote ni mafuriko ya watu hilo hata Prof Lipumba namuheshim sana lkn hili analifaham kuwa ZZK kwa sasa is another person
Hivi wewe unaweza kung'ang'ana mahali unapofukuzwa?
Ataendelea sana kuwaboa watu wa CHADEMA mlitegemea atayumba ng'o hayumbi mtu ACT inasonga mbele kwa mbele. Mtume Zitto endelea kuwatetea watanzania usiwajali wanaokubeza iko siku wataelewa unachowafundisha. Hongera kwa kuachana na saccos(CDM) ya kina Mtei
Ataendelea sana kuwaboa watu wa CHADEMA mlitegemea atayumba ng'o hayumbi mtu ACT inasonga mbele kwa mbele. Mtume Zitto endelea kuwatetea watanzania usiwajali wanaokubeza iko siku wataelewa unachowafundisha. Hongera kwa kuachana na saccos(CDM) ya kina Mtei
Hakika kwa muda mwingi nilidhani chadema wanamsingizia kwa sababu ya maslahi ya kimadaraka ndani ya chama
Si ndio maana CDM waka ikaribisha ACT ndani wa UKAWA kwa bila kinyongo kabisa !!!:A S wink:-
- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.
- .
Misukule ya Gwajima ni rahisi sana kuitambuwa maana kwao mzinzi yeyote ana sifa ya Utume.
Hizo sifa zote za usukule na uzinzi ulizotaja anazo babu slaa mchumba wake mshumbusi raid wako Wa ndotoni
Zitto ameowa lini? Ana mtoto haram kwa mujibu wa uislamu na anaendelea kuzini mpaka amenogowa mpaka hakumbuki kama kuna kuowa.
Wazinifu wawili hawawezi kuhalalisha zinaa kuwa halaal.
Kama Dr Slaa anazini ni mzinzi sawa na Zitto tu, simply wazinifu wawili. Got it msukule?
Kwanini thread inayomuhusu ZZK huwa inakuwa na wachangiaji wengi kuliko thrrads nyingi? Kwann watu wanashughulika naye wakati yeye anaendelea na yake? Yupo kwa ajili ya kutafuta 58% ya wale wasiopiga kura kama anavyodai......tumwache aendelee na yake na sie tuendelee na yetu
Acha ulofa we pimbi nan kakwambia bachela huwa anazini? Zito bado kijana kula mizigo halali yake. Huyo ajuza wako ana laana ndio maana anaingia kwenye ndoa za watu na kuchukua wake za watu. rose kamili hadi mshumbusi. Mzee Wa miaka 70 kuish maisha ya uchumba na wajukuu zake kama sio laana no nn?
Ungeanza wewe Kilaza wa kwanza kuachana na hii thread.
Pole sana kaka!! Naona imekuingia vzr hii dawa......kwani kusema kweli ni tatizo mkuu?