SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Hamuezi kutafuta misemo yenu mpaka mchukue misemo ya UKAWA, Au unatakiwa u- acknowledge kwa Maalimu SeifTeh bavicha bwana mnachekesha sana'. Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe.
Vp ulitaka kwanza akalime kama mwaka mmoja hv kabla hajaenda act?
Kwa niliyoyanona tangu Zitto kuhama chama. kuhojiwa na EATV akakiri kuanzisha ACT na pia wanavyovumisha habari pale wanapovuna wanachama kutoka CDM nina hakika pasi na shaka kuwa Zitto hafai kuwa kiongozi anaweza kuuza nchi kwa maslahi yake binafsi kama mafisi wa CCM wanavyofanya...sasa hivi ACT wanachoshangilia ni kuvuna wanachama from CDM which is killing opposition in our country... Itachukua muda hadi watu wagundue hili hasa pale uchaguzi wa mwaka huu utakapoisha and only by then it will be too late....
That is true. haiwezekani Zito na ACT wajinadi kuwa ni chama cha upinzani kinachotaka kuleta mageuzi ya kweli nchini na wakati huohuo wanabomoa misingi ya vyama na wanachama wa upinzani nchini.
Nikitambo kirefu sasa sijawahi kumsikia zito akiikemea ccm kwa usimamizi mmbovu wa serikali yake na rushwa. bali utamsikia zito akiwapigia kelele mawaziri na viongozi waandamizi wa serikali, ambao kwa msingi wa muundo wa serikali yetu ni wateule wa Rais na mwenyekiti wa ccm.
ukijaribu kufuatilia utaona ni mtindo uleule unaotumiwa na viongozi wa ccm hasa kinana ilikuwadanganya wananchi kuwa wanaisimamia serikali yao.
wanaosema zito ni msaliti hawajakosea. wako sahihi na huo ndio ukweli.
Wa TANZANIA WENGI HAWAJIELEWI JITU PANDIKIZI CHAMA CHA MAGAMBA BADO WANALISHADADIA HUKO MIKOANI MIJITU BADO MBUMBUMBU SANA CJUI ITAKOMBOKA LINI KIFIKRA
Kwani kufanya mawasikiano na Mwamnyange, Mangu au Mkuu wa TISS ni usaliti?Maaaafiii yake bado nasema... Hili likitu ni hovyo kuliko wc ya stend. Atakuwaje na mawasiliano yeye na usalama wa Taifa bila kuwepo na ushirikiano na viongozi wengine wa chama chake.?? Huo ndio usaliti unaomgharimu na utamtafuna hadi mwisho. Ng'ombeee sana
Kwani kufanya mawasikiano na Mwamnyange, Mangu au Mkuu wa TISS ni usaliti?
Kwani kufanya mawasikiano na Mwamnyange, Mangu au Mkuu wa TISS ni usaliti?
Kwani kufanya mawasikiano na Mwamnyange, Mangu au Mkuu wa TISS ni usaliti?
Kama vile nawe utakavyogundua kuwa huo unaouita usaliti ni hadithi za kutunga.Naamini Ben Saanane analijua game hili vizuri kuliko wewe.So kama anavyosema Zitto WEKA AKIBA YA MANENO
zito haja isha kisiasa.wewe ndio umeisha kimtizamo.hukatazwi kufikili kama ulivyo fikili nihaki yako.
katiba ya ACT kuna kiongozi mkuu na mwenyekiti.
kiongozi mkuu ndie mwenye uwezo wa kugombea uraisi.ili akichaguliwa akiwa raisi.mwenyekiti wa ACT ataendelea kukiendesha chama wakatihuo mkuu wa chama ni raisi.
hizo katiba zenu mlizo kopi nyinyi m ndio zinazoshindwa kutofautisha kazi za kikwete leo.kikwete anaweza akatembelea mkoa ruvuma kwaajili ya ziara za chama chake lakini anatumia magali ya serikali.