Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Si hayo ndiyo maneno yenu dhidi ya mushumbusi 2010? Umesahau? Mlimtafuta mume wake wa zamani ili mgeuze kura za urais?
 
huoni yuko mbali na chamaaa?? na hamna mtu mwenye story nae kama mnakumbuka huyu shibuda ailikuwa ccm wakamtataa kachukua chadema ili apate kula
 
Naomba mnikumbushe; ule Mkutano/kikao cha Wassira, Zoka, Zitto, Nchemba, Igondou pale Sea Cliff ulikuwa unahusu nini tena? Yale Mamilioni zilizotumwa Ujerumani na baadae kurejeshwa kwa njia ya Western Union na kugawiwa akina Juliana Shonza, Mwampamba, Mwigamba zilikuwa malipo ya nini? ... Safari yake South Sudan na prezoo ilikuwa ya nini? Uwakala wa Airtel aliupataje? anashauri nini Twaweza? ...ZZK ni Mole wa CCM alieng'olewa CHADEMA na sasa wamempa kitengo cha ACT ... Fedha za Uendeshaji wa ACT zote zinatoka CCM ...
 
Ni kwel ana akili sana za kiusaliti kuliko yeyote Tanzania. Kwa usaliti tu, ni balaa

Tulia dawa ikuingie Mzalendo yupo kazini. Simple logoc kama wewe ni mfanyakazi utanielewa. Kwenye kazi kama mfanyakazi anafanya kazi kampuni x na kwa dhati yake akaona mwajiri anamzingua basi mfanyakazi huyo huanza kidogo kidogo kutuma maombi ya kazi sehem nyingine na katika kipindi hiki cha kutuma maombi huyo mfanyakazi hawezi mjuza mwajiri wake wa kampuni x na endapo akibahatika ajira kwa mwajiri mpya y basi huyo mwajiriwa ataenda kubwaga manyanga kwa mwajiri x. Note: sheria za kazi hazimruhusu huyo mwajiriwa kutafuta kazi akiwa kazini kwa mtu. Its a normal life. Kama sio mburula umenielewa.
Jembe ZZK alipenda sana afanye implemantation nzuri za kitaifa kupitia chama cha mtei lakini mlizingua wenyewe. Sasa kaacha lakini bado mnamfata fata?
 

Ndiyo ujinga aliyowajaza kwenye vifuvu vyenu hivyo. Maana kuna mj.inga mwenzio kasema hayo hayo kabla. Kweli mtu ni kichwa na si tumbo.
 
Chagadema hamwachi kuweweseka na Zitto inaoneka mwajuta kwanini mlimfukuza. kweli majuto mjukuu
 
Sina hofu chembe kaka, maana usaliti wake tumeufahamu bado wewe na ninaamini muda si mrefu utaziona rangi zote za zito kabwe

Kama vile nawe utakavyogundua kuwa huo unaouita usaliti ni hadithi za kutunga.Naamini Ben Saanane analijua game hili vizuri kuliko wewe.So kama anavyosema Zitto WEKA AKIBA YA MANENO
 
ACT ni kirusi kilicho pandikizwa na CCM,dawa ya kirusi hicho ni UKAWA.Nichungu ni ngumu kumeza ila ina tibu ufisadi na usaliti.
 
Blaza...yaaani mara hii umeshasahau kuwa mlimfukuza zzk kutoka saccos yenu?Sasa ulitaka abaki nanyi na hali hamumtaki?Wanachama wa act ni wazalendo wa tz pasipo jali chama gani...Mlimuona kuwa ana siasa za kichovu...achaneni naye nanyi muendelee kujenga upinzani...!!..Tukupo pamoja Act....Nasubiri kadi ya uanachama.

 
Mtaweweseka sana mwaka huu..na bado sana...kaeni mkao kucheza mziki wa Act katika uchaguzi mkuu.....

 

Sasa si umeona unataka nini tena unataka uchakachuliwe kwanza au?
 
Anaye weza kusema zito si msaliti ni mwendawazimu au zimemluka na milembe pana muhusu.
 
Anaye weza kusema zito si msaliti ni mwendawazimu au zimemluka na milembe pana muhusu.

Asiyeweza kuona usaliti wa zito ni kichaa peke yake ambaye anafuatilia siasa oya oya bila kutafakali mambo
 
Mkuu nikusahihishe hapo,chadema sio chama ila ni SACCOS ya wachaga

Mkuu siku moja utaweza kutofautisha kati ya SACCOS na chama, kama ilivyo tofauti kati ya MAFICCM (Mafisadi CCM) na CCM ya Nyerere.
 

sasa kama neno saccos mlikuwa mnalibahatisha kulijua kwasasa ACT ndo saccos rasmi ya ZITTO kwa hisani ya CCM ukatae ukubali ukwili ndo huo.
 
Mkuu siku moja utaweza kutofautisha kati ya SACCOS na chama, kama ilivyo tofauti kati ya MAFICCM (Mafisadi CCM) na CCM ya Nyerere.

Kweli chadema ni SACCOS ya upinzani wakati Ccm ni SACCOS iliyo madarakani
 
Kama vile nawe utakavyogundua kuwa huo unaouita usaliti ni hadithi za kutunga.Naamini Ben Saanane analijua game hili vizuri kuliko wewe.So kama anavyosema Zitto WEKA AKIBA YA MANENO

ZITO alishasena tusuwaamini wanasiasa sasa na wewe usumwamini ZZT sio kila atakachosema wewe ni kumeza tu angalia usijekuwa umeeza sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…