MJITA HALISI 176
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 537
- 146
Yana hati miliki??!!
Hujajibu swali. Mnayo hati miliki ya hayo magwanda?Kwani ujui zito anavyoinanga cdm? Kwa nn aendelee kuvaa magwanda yetu sasa
Yana hati miliki??!!
Mkuu zitto alishasema yeye atakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA, huenda ndo anawalk the talks.
Cdm haitishiwa na nyau. Cdm ni zaidi ya zito
Nadhani keshalitambua hilo...Zitto ni mpima upepo mzuri, hawezi kukurupuka kutoka Chadema bila kupima upepo wake kisiasa unaelekea wapi!
Cdm haitishiwa na nyau. Cdm ni zaidi ya zito
Yana hati miliki??!!
Nimemwona my. Zito katika Taarifa ta habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .
RAI
Huyu mb anajipambanua waziwaZi kuwa ni mpinzani was chadema na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yeyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwa nini yy zito anaendelea kuinadi chadema kwa kuvalia magwanda?
Nawashauri uongozi was juu umsamehe zito kwani bdo anaipenda cdm kwani act imekosa mwelekeo...!!
Yana hati miliki??!!
Magwanda ya Chadema ni yapi hayo?
Nimemwona my. Zito katika Taarifa ta habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .
RAI
Huyu mb anajipambanua waziwaZi kuwa ni mpinzani was chadema na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yeyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwa nini yy zito anaendelea kuinadi chadema kwa kuvalia magwanda?
Nawashauri uongozi was juu umsamehe zito kwani bdo anaipenda cdm kwani act imekosa mwelekeo...!!
Hujajibu swali. Mnayo hati miliki ya hayo magwanda?
Zitto is an opportunist, and always, an opportunist thinks only of himself!Nadhani keshalitambua hilo...Zitto ni mpima upepo mzuri, hawezi kukurupuka kutoka Chadema bila kupima upepo wake kisiasa unaelekea wapi!
Zitto is an opportunist, and always, an opportunist thinks only of himself!
Such people should not be trusted.