Kwanini Zitto anafaa kuwa Rais 2015...

Kweli 'njii' politics kila mtu anaifaham. Kamwaga nadhani atakuwa amepata somo mapema kweupe! Angalizo, kaka Eze soma na uelewe vema hizi post halafu acha kumkampenia mapema Zitto maana mda wa kampeni bado utamtia gundu bure kwa kimbelembele chako au ndo unajiandalia njia ya kupata japo uwaziri wa news jamaa akisha shika 'nji'? Kaka tuliza kitenesi banaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Aisee, hii issue ya zitto kuwa Rais is getting serious now. Something must be done to divert attention to somewhere else. It is disproportionately out of control to be honest.
 
Anafaa kwasababu anaandika? Kwa mtazamo wangu njia na hatua zote anazopitia ndugu Zitto zimekuwa crafted kumjenga/kujijenga kuwa Rais lakini kibaya zaidi mambo yote anayofanya yako so obvious hadi inaonyesha jinsi alivyo so ambitious hadi inakera
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom