Kwanini ZINAA ni dhambi?

Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa.

Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya msingi kuikataza zinaa.

Kama kitendo cha watu kukutana kimwili kingekuwa kibaya. Mbona watu walio kwenye ndoa wanafanya mapenzi na sio shida!!?

Kwa nini ukifanya nje ya ndoa au kabla ya ndoa ndio inakuwa dhambi? Je, kuna uhusiano wa dhambi ya kuzini na mapadre kutooa?

Je, kuna uhusiano wa dhambi ya kuzini na maustaaz kuwakwepa wanawake (maustaaz wa tiba)? Kuna madhala yoyote kwenye ulimwengu wa kiroho unaosababishwa na kufanya ngono?

Kuna vitu kama utakaso, janaba nk

Ebu intelligent anaejua anipe somo kidogo
Matokeo yake ndio yanaifanya zinaa kuwa dhambi

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Zinaa ni nini? Ni unapofanya tendo la ndoa nje ya ndoa au vipi? Na kama ni ndio, je wale ambao hawaoe au kuolewa watafanyaje? Huenda sio dhambi, ni makubaliana ya watu wawili (watu wazima) wa jinsia tofauti kujifurahisha. Viungo Mungu kaviweka kwa kazi hiyo. Ni kwa nini Mungu alimletea Adam mwanamke?
 
Zamani resources zilikuwa limited.
Kabla hata watu hawajagundua mambo ya dini (Im talking miaka 10, 000 huko kurudi nyuma)
Watu waliishi kwa kuwinda na kufuga.

Watu walikuwa wanaishi kwa makundi kama wamasai vile.
Wakagundua ili wasurvive inabidi wacontrol kuzaliana..
Maana mkizaliana sana mtakosa chakula cha kuwalisha watoto.
Ndio hapo njia mojawapo ya kucontrol population ilikuwa ni kufanya sex iwe dhambi.

Kwahyo Dini zimekuja zikakuta tayari jamii nyingi zina hii mindset.

Dini zikaichukua hii mindset na kuikomelea kwenye maandiko.
Walao comment hii ina majibu yenye mantiki.
 
Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa.

Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya msingi kuikataza zinaa.

Kama kitendo cha watu kukutana kimwili kingekuwa kibaya. Mbona watu walio kwenye ndoa wanafanya mapenzi na sio shida!!?

Kwa nini ukifanya nje ya ndoa au kabla ya ndoa ndio inakuwa dhambi? Je, kuna uhusiano wa dhambi ya kuzini na mapadre kutooa?

Je, kuna uhusiano wa dhambi ya kuzini na maustaaz kuwakwepa wanawake (maustaaz wa tiba)? Kuna madhala yoyote kwenye ulimwengu wa kiroho unaosababishwa na kufanya ngono?

Kuna vitu kama utakaso, janaba nk

Ebu intelligent anaejua anipe somo kidogo
Asikudanganye mtu zinaa ni dhambi full stop , how ?, iangalie zinaa kwa ujumla utajua tu ubaya wake na kama hujajua Hebu fikiria mimi nakuja kwenu na ngonga mlango mama yako ana afungua mlango then na mzini kisha niki maliza na kuja kwako kuku zini kisha kesho ana kuja ( mshana) ana mzini mama ako na mimi na mzini mwanao . Utakubali mkuu? , aisee hakuna mtu au mwanaume anayependa mama au ndugu yoyote aziniwe , kabla ya uislamu zinaa ilikiwa oya oya lakini ilipokuja kuja kuharamishwa ilikubaliwa fasta sna maana kila mtu aliona ubaya wake zinaa ni uchafu , umaskini na kujidharirisha , nawasalisha
 
Ni vile ulikataa shule ukaweza akili madras
Miaka 600 kabla Muhammed
Zinaa ilishapigwa marufuku na ikawekwa kama amri
Rejea amri 10 alizopewa Musa
 
Unaona sasa ?, hiyo ndio shida yenu nyinyi wabishi sna na pia hamna hata ulewa , mleta mada kata ufafanuzi wa kina kwa nini zinaa ni dhambi ?, baada ya kuona ktk comment hakuna aliye muelewesha vzuri nikaona ngoja ni toe pindi bureeee kwa namna atakavyoelewa , sasa wewe from no where unakuja kuni tusi ki saikolijia pia unaongoea upuuzi , hivi kwani MUSSA alikuwa MKRISTO au MUISLAEL ?, mbona unachotapika ukijui au ndio unataka kunambia kuwa mussa alikuwa ana wapigania wakristo ?, mussa hawa usu , na ndio maana wa islael hawa watambui wakristo na yesu na watomkubali milele, NB WAISLAEL HAWA ELEWANI NA WAISLAM NA HAWAKUBALI WAKRISTO NA USKRISTO WENYEWE. huna elimu ya kunipa
 
Ni vile ulikataa shule ukaweza akili madras
Miaka 600 kabla Muhammed
Zinaa ilishapigwa marufuku na ikawekwa kama amri
Rejea amri 10 alizopewa Musa
Na pia usisahau hzo amri alizopewa MUSSA alipewa awape au awaambie wana wa islael , na hao waislael walikua wakisubiria kwa hamu hz amri
 
Mbona kama unajicontradict Mkuu?
Cotradict sio yangu , cotradiction zipo ktk kitabu , ndio maana nikasema hyo MUSSA alikuwa dedicated kwa wana wa islael na syo wakristo , sasa mtu akija kuleta andiko la MUSSA kuhusu islael ilihal Mussa alikuwa dedicated kwa watu fulan , siwezi elewa
 
Haitakiwi uzini na watu tofauti. Ikiwa mna uhusiano na mtu mmoja ni sawa.

Shida nyingine na yeye atakuwa na msimamo wa uaminifu? Ndipo likaja suala la ndoa ili watu wakishuhudia hadharani then ww utakosa uhuru ama njia ya kukosa uaminifu.
 
Labda na Mimi nitajaribu kugusia maeneo matatu
1.Mwili.mwili wa binadamu ni kama nguo/vazi la roho yake na pindi Mungu anapoangalia mwili wa binadamu anauona kwa kuwa msafi au umechafuka na vyote viwili vitampa mtu kuwa karibu au mbali na Mungu.
2.Dhambi ni uchafu kama mfano wa vumbi,,tope au namna yoyote ya kitu kinachochafua.Kwa hio kama unavyokuwa na mtoto mwenye nguo safi ukamkataza asikae mazingira ya tope,,vumbi,grease au oil chafu ni kama vile unavyokatazwa ukae mbali na dhambi kwa uhusiano wa mwili wako kwamba dhambi inauchafua mwili.
3.Zinaa.zinaa ni dhambi kwa sababu kadhaa,,mtu akizini na chochote hata mnyama ameungana nae kiroho,,mtu akizini na wanawake 10 ameungana nao kiroho na wanashare dhambi na milango ya kifamily,,zinaa haihusishi mwili TU ila inahusisha Hadi roho na ndio maana wanandoa/waliozaa watoto wao Huwa na viashiria na tabia na baraka au mikosi ya pande zote mbili.
Zinaa ni mkataba wa kiroho ndio maana baadhi ya watu hupewa sharti la kuzini na viumbe,,waganga nk kwa ajili ya kufanikiwa katika biashara maisha na mipango Yao..Kwa hio katika kufanikiwa atafanikiwa under control ya kile alichoingiziwa au alichojisajili kama mkataba.Zinaa ni mkataba uliotakiwa Uwe kwa ajili ya kuzaliana katika mazingira yalio rasmi ya ndoa..Nje ya hapo ni kujifunga na wanawake/wanaume mikataba isio rasmi inayopelekea kuzaa wanaharamu,,kutoa mimba na mambo mengine yatokanayo na kutokurasimisha.

Zinaa inajumuisha manii ya mwanaume ambayo yenyewe yanapomwagika bila mpangilio ni najisi na uchi wa mwanamke ambao ni kama chemchem isiotakiwa kuchafuliwa hasa kutokana na matunda yanayotoka ndani yake.Kwamba mwanamke anaweza kuwa hata Malaya kwa kule kuzini TU,,na akatoka katika lengo lake hasa kutokana na zinaa kufungua milango ya kiroho ya mtu ambapo roho chafu kama majini huweza kupitia mlango huo na kumchafua zaidi alozini.
 
Zinaa ni dhambi kwasababu MUNGU amesema ni dhambi!! Yeye ndiye muumbaji na YEYE ndie mwenye hikma,mjuzi wa kila kitu na pia ni hakimu wa kila jambo.

MUNGU anaposema jambo fulani ni HARAMU, Sisi kama viumbe wake hatuna haki ya kuhoji kwanini ni HARAMU? Bali inatupasa tuamini kuwa jambo hilo ni haramu na pia tutii amri yake kuwa jambo fulani ni baya, tusilifanye.

MUNGU ndiye anajua kwanini kaiharamisha zinaa na kahalalisha ndoa.
 
Labda na Mimi nitajaribu kugusia maeneo matatu
1.Mwili.mwili wa binadamu ni kama nguo/vazi la roho yake na pindi Mungu anapoangalia mwili wa binadamu anauona kwa kuwa msafi au umechafuka na vyote viwili vitampa mtu kuwa karibu au mbali na Mungu.
2.Dhambi ni uchafu kama mfano wa vumbi,,tope au namna yoyote ya kitu kinachochafua.Kwa hio kama unavyokuwa na mtoto mwenye nguo safi ukamkataza asikae mazingira ya tope,,vumbi,grease au oil chafu ni kama vile unavyokatazwa ukae mbali na dhambi kwa uhusiano wa mwili wako kwamba dhambi inauchafua mwili.
3.Zinaa.zinaa ni dhambi kwa sababu kadhaa,,mtu akizini na chochote hata mnyama ameungana nae kiroho,,mtu akizini na wanawake 10 ameungana nao kiroho na wanashare dhambi na milango ya kifamily,,zinaa haihusishi mwili TU ila inahusisha Hadi roho na ndio maana wanandoa/waliozaa watoto wao Huwa na viashiria na tabia na baraka au mikosi ya pande zote mbili.
Zinaa ni mkataba wa kiroho ndio maana baadhi ya watu hupewa sharti la kuzini na viumbe,,waganga nk kwa ajili ya kufanikiwa katika biashara maisha na mipango Yao..Kwa hio katika kufanikiwa atafanikiwa under control ya kile alichoingiziwa au alichojisajili kama mkataba.Zinaa ni mkataba uliotakiwa Uwe kwa ajili ya kuzaliana katika mazingira yalio rasmi ya ndoa..Nje ya hapo ni kujifunga na wanawake/wanaume mikataba isio rasmi inayopelekea kuzaa wanaharamu,,kutoa mimba na mambo mengine yatokanayo na kutokurasimisha.

Zinaa inajumuisha manii ya mwanaume ambayo yenyewe yanapomwagika bila mpangilio ni najisi na uchi wa mwanamke ambao ni kama chemchem isiotakiwa kuchafuliwa hasa kutokana na matunda yanayotoka ndani yake.Kwamba mwanamke anaweza kuwa hata Malaya kwa kule kuzini TU,,na akatoka katika lengo lake hasa kutokana na zinaa kufungua milango ya kiroho ya mtu ambapo roho chafu kama majini huweza kupitia mlango huo na kumchafua zaidi alozini.
dah jamaa unawaza kama mimi yani,hili jambo lilinitesa sana paka nikajajua kuwa There's a spiritual connection within the act,ni kama mkataba fulani hivi
 
Usikulubie zinaaa Hakika ya zinaa ni uchafu na ni njia ilopotea... (kufanya zinaa ni Sawa na kuwe na minofu miwili mmoja uwe mzima na mwengine uwe umeoza lakini at the same time yote ni minofu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom