Kwanini Zanzibar waweze sisi tushindwe?

Mechi za soka kupigwa Usiku pale Zanzibar inawezekana, Sisi huku Bara tunashindwa vipi wadau?
Kuna sababu ya sisi mechi kuchezwa usiku? Kumbuka population ya Zanzibar ni ndogo na mji wao ni mdogo kwa hiyo ni rahisi ku-manage hicho kitu
 
Mechi za soka kupigwa Usiku pale Zanzibar inawezekana, Sisi huku Bara tunashindwa vipi wadau?


Swali lako halina maana, Zanzibar ni sehemu yetu, ni sawa na kuuliza iweje Mtwara watumie Umeme wa gesi halafu sisi tushindwe?
 
Sijui kama nimelielewa vizuri swali lako lakini nafikiri inawezekana mechi kupigwa usiku hasa baada ya uwanja mpya wa taifa kukamilika.
Mashindano haya yanayoendelea yanafanyikia Zanzibar kwa sababu sherehe zenyewe za mapinduzi zitafanyikia Zanzibar.

Nnachokubaliana na wewe ni kwamba, Uwanja wa Amani ndio ulikua na uwezo wa kuweza kutumika kwenye mechi za usiku kitambo sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom