Mkuu Zanzibar kama hakuna kampuni ya usafiri wa ndege yenye jina la Zanzibar Air, hata wewe unaweza kuanzisha kampuni ya usafiri wa ndege na ukaipa jina la zanzibar Air sidhani kama itakua tatizoHivi masuala ya anga ni ya Muungano?
Zanzibar hawawezi anzisha shirika Lao la ndege??
Hatuwezi rekebisha wakawa na shirika lao la ndege?
Binafsi naona kama Utalii sio suala la Muungano basi na masuala ya biashara ya ndege na anga itenganishwe..ibaki kwenye ulinzi Tu...
Zanzibar ikiwa na shirika lake itawasaidia Sana kwenye Utalii ...wakiwa serious..
Sheria zikoje??
Mtoa hoja hashindwi kuishauri Rwanda wanunue meli zao wenyewe kurahisisha usafirishaji wa mizigo yaoTukiaccomodate mawazo kama haya hii Nchi itabakia screpa tu.
NATIONAL AIRLINES ya bara inaendeshwa kihsarahasara, ya Zanzibar nayo ingeleta faida gani?Namaanisha national airline ..
NATIONAL AIRLINES ya bara inaendeshwa kihsarahasara, ya Zanzibar nayo ingeleta faida gani?
Zanzibar ikiwa na shirika lake itawasaidia Sana kwenye Utalii ...wakiwa serious..
Sheria zikoje??
Taja airline tatu ndani ya Afrika zinazoendeshwa kwa faida then washauri ZanzibarHasara zinasababishwa na mipango mibovu
Na siasa..
Ya Zanzibar sio lazima ifanane na ya bara
Kwanza Zanzibar wanaweza kuwa na Safari za kimataifa only..wasiwe na local flights Kabisa..
Kingine ni kodi..
Wanaweza kuwa na policy tofauti ya kodi
Mkuu kwanza katika biashara ngumu zaidi duniani ni biashara ya usafiri wa ndege, ndio maana kati ya makampuni yanayozugumzia hasara zaidi duniani ni ya ndege na ukisema Zanzibar wangeachana na local travel na kujikitazaidi na international travel, nani apande ndege ya Zanzibar wakati anayaona makampuni makubwa ya ndege kama KLM, SWISS AIR, LUFTHANSA, EMIRATE, QADAR AIRWAYS, BRITISH AIRWAYS nk yenye uhakika wa usalamHasara zinasababishwa na mipango mibovu
Na siasa..
Ya Zanzibar sio lazima ifanane na ya bara
Kwanza Zanzibar wanaweza kuwa na Safari za kimataifa only..wasiwe na local flights Kabisa..
Kingine ni kodi..
Wanaweza kuwa na policy tofauti ya kodi