Kwanini Zanzibar hakuna mgao wa umeme

Kwanini Zanzibar hakuna mgao wa umeme

Poleni sana Watanganyika. Haya yote yatakwisha baada ya ujenzi wa Bwawa la Nyerere kukamilika. Vumilieni bado kidogo tu, mambo ya mgao wa umeme itabaki historia.
 
Nasubiri watanzania 2025 na Bendera za CCM nimalizie utafiti wangu.
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.

Huku tumekubali kuburuzwa kwa manufaa ya wachache
 
Mlaumu Nyerere mnayemuabudu kwa huu muungano feki
Sasa hivi mnaye Mzenji Bibi Tozo na Nyerere hayupo. Vunjeni muungano.
Kwenye maeneo ambayo matumizi ya umeme sio makubwa, mgao unakuwa sio mkubwa sana au hakuna kabisa!Kasheshe ni kwa wakazi wa Dar, Mwanza na Arusha naona wiki hii wamekazia kabisa!unakatwa asubuhi unarudishwa saa 1 kisha kesho yake wanakuachia mchana wanaukata usiku.
Mimi niko Rombo. Kila siku umeme unakata alfajiri unarudi saa 12 jioni.
 
Zanzibar wana marais wawili na makamu wa rais wawili, jumla wanne!
Tanganyika hawana rais ila wanaye makamu wa rais moja, jumla moja!
Makamu mwenyewe hana uzoefu wa kisiasa na sio machachari na mjenga hoja.

PM nae comci comca.

Tanganyika imebakia yatima.
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Hapa nipo gizani sasa hivi...
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Tofauti na sisi tulivyo na uhitaji wa umeme wao umeme kutwa ni kutengenezea juisi ya miwa.
 
Back
Top Bottom