Kwanini Zanzibar hakuna mgao wa umeme

Kwanini Zanzibar hakuna mgao wa umeme

Mgao upo Ila Sio mkali Sana ukilinganisha Na Bara Ni Jana tu wamekata Umeme kuanzia asubhi wamekuja kuurudisha saa12 jioni.
 
Nafikil hujafanya unafanya uchunguzi ata mtwara umeme haukati ovyo,tusitumie kisiasa
Kwenye maeneo ambayo matumizi ya umeme sio makubwa, mgao unakuwa sio mkubwa sana au hakuna kabisa!Kasheshe ni kwa wakazi wa Dar, Mwanza na Arusha naona wiki hii wamekazia kabisa!unakatwa asubuhi unarudishwa saa 1 kisha kesho yake wanakuachia mchana wanaukata usiku.
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Mambo mengine machungu kuyajadili. Bora tu kuacha.
Tanganyika aliingia kwenye ndoa na mwanamke asiyempenda . Hivyo hulazimika kumhonga mpenziwe ili ndoa idumu.

Angalia hata bei za mafuta & bidhaa zingine . Angalia kodi na tozo hizo ni msalaba wa mTanganyika.
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.

Tanganyika wapigaji na walamba asali ni wengi sana kwahiyo wanafanya magumashi kwa maslai yao binafsi.

-Wanataka wauze generator ,wanataka wauze wese ,wanataka wauze vipuri.

Mafuta ya kupikia yalipanda sana enzi vitaa za urusi/ukrein inaanza yakafika hadi elfu 9 kwa lita(haya ya kawaida) ila kwasasa yameshuka hadi elfu 4 bei ya awali wakati vita bado imepamba moto...utakuja kugundua kwamba kuna figisufigisu na nyawilanyawila za wapiga dili na walamba asali.
 
Umeme wenyewe unatokea Tanganyika [emoji849]
Zanzibar wana vitambulisho vyao vya uraia,

Zanzibar wanatimu yao ya taifa

Zanzibar wana jeshi lao la kujenga uchumi wao

Ni jamhuri ya watu wa zanzibar

Kwa mujibu wa sensa zanzibar ina watu milioni 1 tanganyika watu milioni 60 lakini mapato tunagawana pasu pasu [emoji35]

Kiufupi zanzibar ni nchi muungano huu ni batili bora ulekebishwe zenji isijitawale iwe kama mikoa mingine ya tanzania au uvunjwe kama aiwezekani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Hayo ni maelekezo kutoka juu kuwa umeme usikatwe zenji ingewezekana angesema nyumba za waumin zisikatiwe umeme
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Zenj mbali, nenda ofisi za wizara, mikoa, kama Wana mgao, zipo line maalum hawajui mgao ni nn!!

Tunajua madhara ya mgao ndo tujipambanie, tusubiri hao wasojua machungu yake.
 
Umeme wenyewe watoka bara na bill wanalipa kwa mbinde, watoto pendwa hao yaheee.......
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Umeme wao unapita chini ya bahari ambako kuna maji mengi, simple.
 
Mkuu yaani ni sawa na kuhoji kwanini,Israel watu wake wanaishi vizuri kuliko Palestina?
Huku bara ni Palestina na visiwani ni Israel(Taifa teule).Ujasikia ata mabalozi wameagizwa waitazame Zanzibar kiupekee wakiwa Ughaibuni.
"Ukiilani Zanzibar na wewe pia umelaaniwa'
 
Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Zanzibar ni nchi ya kigeni
 
Labda zihoji nyaya zinazopita Tegeta kwa Ndevu kuelekea bahari ya hindi ili zieleze kwanini zenyewe hazipewi mgawo wa 'kani tembezi umeme'

Ndio laini pekee pendwa inayoachwa bila kuguswa huku wabara wanaozalisha wakiwa gizani
 
Juu ya kutokuwepo na mgao Visiwani waulizeni Zeco.

Tena msifanye suala hili kuwa la kisiasa.
 
Wapo milioni moja na wana marais wawili.
Zanzibar wana marais wawili na makamu wa rais wawili, jumla wanne!
Tanganyika hawana rais ila wanaye makamu wa rais moja, jumla moja!
 
Back
Top Bottom