Kwanini your X ashindwe kuhudhuria harusi yako?

Mimi tukishamwagana sina story na wewe na wala sitageuka hata kidogo.sitahitaji kufuatilia maisha yako, wala ya mkeo.If God wishes tukakutana barabarani, nitakusalimia na mkeo nitamsalimia bila kinyongo.What next ni kusepa sina habari na wewe.
 
Hivi 'x' wako akiwepo nawe umeshaamua kutengeneza maisha na ndio maana unafunga ndoa, aje akukumbushe yenu ya nyuma ama! Akiwepo ataongezea nini katika kile ufanyacho wakati huo! Au unataka muumizane na akianzisha f=vurugu je hapo ukumbini na ndoa yako kuvurugika!
Kimsingi, sioni sababu ya 'x' wako awepo zaidi ni kumdharaulisha huyo unayefungamana nae maishani.

Pamoja sana mkuu,...mimi ndio maana naogopa sana kufunga ndoa na maharusi makubwa makubwa,..yaani nikipata harufu ya ex,..kuchangia au kutia mguu tu,...ndoa na harusi hamna_ni mtazamo tu wala sio wivu..ila mimi naona ni madharau yaliyo zidi kiwango.
 
Mimi tukishamwagana sina story na wewe na wala sitageuka hata kidogo.sitahitaji kufuatilia maisha yako, wala ya mkeo.If God wishes tukakutana barabarani, nitakusalimia na mkeo nitamsalimia bila kinyongo.What next ni kusepa sina habari na wewe.

Smart girl....
 
Hivi 'x' wako akiwepo nawe umeshaamua kutengeneza maisha na ndio maana unafunga ndoa, aje akukumbushe yenu ya nyuma ama! Akiwepo ataongezea nini katika kile ufanyacho wakati huo! Au unataka muumizane na akianzisha f=vurugu je hapo ukumbini na ndoa yako kuvurugika!
Kimsingi, sioni sababu ya 'x' wako awepo zaidi ni kumdharaulisha huyo unayefungamana nae maishani.

kuumizana kunasababishwa na nini jamani
 
kuumizana kunasababishwa na nini jamani

Kwa wanaume wa aina yangu hapa sio kuumizwa _ ni kudharauliwa,..aaaaaah grhrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr..ppuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuf
 
It all depends on circumstnces!

Kama nimepata Bonge la Bwana, mwanaume wa ukweee, ma vogue ya kutosha na nini, kitu Serena my X's will in trouble manake nitawashurutishaje kuhudhuri! Sio ombi tu! Hadi blackmail kuhusika! I SIMPLY WON'T RESIST THE GOLDEN OPPORTUNITY TO RUB ON THEIR FACES THAT IM BETTER THAN THEM! MATTER OF FACT MUCH MUCH BETTER! THATS WHY I LANDED SOMEONE MUCH BETTER THAN THEY COULD EVER GET THEIR ENTIRE LIVES! AND THEY HAVE TO WATCH EVERY SECOND OF IT AS I SAY I DO!!!!!! AND AS TO THEM THEY ARE NOTHIN BT PEACE OF SHIT AS THEY ALWAYS HAVE BEEN!!!!!!!!! (its the horrible truth but its life)

Ila nikiwa naolewa ukumbi wa vichochoroni huko, nimedoda ole wake atakaewapa taarifa kuwa naolewa! Mambo gani ya kuaibishana!!!!!!! Mambo yatafanyika kwa usiri mzito zaidi ya KGB!

Kama wao wanaoa najipima kwanza ubavu na bibi harusi kama mcute wala siendi! Ila kama Zombi lazima nikawe show stopper kwenye hiyo harusi hadi watu waulizane hivi na huyu ndugu yetu kivipi vile? Kila wimbo nainuka kucheza jirani na high table! Just to rub on his face SEE WHAT YOU WILL BE MISSING! ALL THIS FOR THAT!!!! PLEASE!!! MAN YOU LOST!!!!! Hadi X atakonda kilo mbili siku hio moja!

Mmmhhhh shosti naona una kazi maalum humu duniani, you seem very broad minded woman lakn huwa nimeshindwa kuelewa "the purpose of your focus" maana naona una-deal na vituko zaidi badala ya tija...............anyway labda ipo siku nitakuelewa lara 1.................nitaendelea kusoma nyuzi zako na comments zako...........!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
It all depends on circumstnces!

Kama nimepata Bonge la Bwana, mwanaume wa ukweee, ma vogue ya kutosha na nini, kitu Serena my X's will in trouble manake nitawashurutishaje kuhudhuri! Sio ombi tu! Hadi blackmail kuhusika! I SIMPLY WON'T RESIST THE GOLDEN OPPORTUNITY TO RUB ON THEIR FACES THAT IM BETTER THAN THEM! MATTER OF FACT MUCH MUCH BETTER! THATS WHY I LANDED SOMEONE MUCH BETTER THAN THEY COULD EVER GET THEIR ENTIRE LIVES! AND THEY HAVE TO WATCH EVERY SECOND OF IT AS I SAY I DO!!!!!! AND AS TO THEM THEY ARE NOTHIN BT PEACE OF SHIT AS THEY ALWAYS HAVE BEEN!!!!!!!!! (its the horrible truth but its life)

Ila nikiwa naolewa ukumbi wa vichochoroni huko, nimedoda ole wake atakaewapa taarifa kuwa naolewa! Mambo gani ya kuaibishana!!!!!!! Mambo yatafanyika kwa usiri mzito zaidi ya KGB!

Kama wao wanaoa najipima kwanza ubavu na bibi harusi kama mcute wala siendi! Ila kama Zombi lazima nikawe show stopper kwenye hiyo harusi hadi watu waulizane hivi na huyu ndugu yetu kivipi vile? Kila wimbo nainuka kucheza jirani na high table! Just to rub on his face SEE WHAT YOU WILL BE MISSING! ALL THIS FOR THAT!!!! PLEASE!!! MAN YOU LOST!!!!! Hadi X atakonda kilo mbili siku hio moja!

Duuuuuu weeeeeeeeeeeeeeeee mkali
 
DU....,mwana vp wewe, kama ulipenda x aje si ungemuoa yeye ili ulipo wewe na yeye awepo!!!
 
Mimi tukishamwagana sina story na wewe na wala sitageuka hata kidogo.sitahitaji kufuatilia maisha yako, wala ya mkeo.If God wishes tukakutana barabarani, nitakusalimia na mkeo nitamsalimia bila kinyongo.What next ni kusepa sina habari na wewe.

Napenda wadada wenye misimamo kama yako... I hope wewe ni ndugu yangu make una misimamo.kama yangu... Smart lady & charminglady...
 
Last edited by a moderator:
morning .
jamani wapendwa mimi huu nauita unafiki, yaani umeachana na mtu miaka kadhaa iliyopita iwe ye mkosaji au we msababishi lakini maisha yaliendelea, n i always avoid kuachana kwa bifu na hua nawatafuta japo kwa salaam even tho nt always.sasa unawasiliana na mtu , mapenzi ushasitisha naye iweje siku unampa taarifa ya harusi anadai sitakuja akijitahidi anakwambia ntakuchangia ,

Natoa tamko sioni sababu ya msingi ya wewe kushindwa kuhudhuruia harusi ya x wako, life shud go on, we ulitaka abaki mjane milele baada ya kuachana naye,

copy kwa ma X wangu woooote na mnanjijua na nshawaalika na nategemea kuwaona ukumbini, i wont tek no for an answer.tuache wivu wa kichawi usio na maendeleo.
Kwani akijaa X wako anaongeza nn na asipo kuja anapunguza nn?
 
of what importance is their presence at ur wedding? ebu jibu kwanza hilo
 
there is no logic of their attendance in ua wedding, kama mchangiaji mmoja alivyosema " KAMA UNATAKA KUMUONA X WAKO KWENYE HARUSI YAKO KWA NINI HUKUMUOA AU KUOLEWA NAYE ILI UWE NAE CLOSE ALL THE TIME"

Wewe unajiona umewiiiin kuwa na huyo unayeenda KUFUNGA NAYE PINGU ZA MAISHA!!!!!!!!!!

DO YOU KNOW WAT IS YOUR TOMORROW WITH THE SO CALLED YOUR EXPECTED SPOUSE????? Huenda ukajutia uamuzi wako wa kufunga ndoa na huyo mtu immediately baada ya kumaliza kula kiapo
 
It all depends on circumstnces!

Kama nimepata Bonge la Bwana, mwanaume wa ukweee, ma vogue ya kutosha na nini, kitu Serena my X's will in trouble manake nitawashurutishaje kuhudhuri! Sio ombi tu! Hadi blackmail kuhusika! I SIMPLY WON'T RESIST THE GOLDEN OPPORTUNITY TO RUB ON THEIR FACES THAT IM BETTER THAN THEM! MATTER OF FACT MUCH MUCH BETTER! THATS WHY I LANDED SOMEONE MUCH BETTER THAN THEY COULD EVER GET THEIR ENTIRE LIVES! AND THEY HAVE TO WATCH EVERY SECOND OF IT AS I SAY I DO!!!!!! AND AS TO THEM THEY ARE NOTHIN BT PEACE OF SHIT AS THEY ALWAYS HAVE BEEN!!!!!!!!! (its the horrible truth but its life)

Ila nikiwa naolewa ukumbi wa vichochoroni huko, nimedoda ole wake atakaewapa taarifa kuwa naolewa! Mambo gani ya kuaibishana!!!!!!! Mambo yatafanyika kwa usiri mzito zaidi ya KGB!

Kama wao wanaoa najipima kwanza ubavu na bibi harusi kama mcute wala siendi! Ila kama Zombi lazima nikawe show stopper kwenye hiyo harusi hadi watu waulizane hivi na huyu ndugu yetu kivipi vile? Kila wimbo nainuka kucheza jirani na high table! Just to rub on his face SEE WHAT YOU WILL BE MISSING! ALL THIS FOR THAT!!!! PLEASE!!! MAN YOU LOST!!!!! Hadi X atakonda kilo mbili siku hio moja!

Pfyuuuuuu,hizi nyodo mdomoni tu kitandani kama gogo limeangushwa barabarani........
 
Back
Top Bottom