Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
morning .
jamani wapendwa mimi huu nauita unafiki, yaani umeachana na mtu miaka kadhaa iliyopita iwe ye mkosaji au we msababishi lakini maisha yaliendelea, n i always avoid kuachana kwa bifu na hua nawatafuta japo kwa salaam even tho nt always.sasa unawasiliana na mtu , mapenzi ushasitisha naye iweje siku unampa taarifa ya harusi anadai sitakuja akijitahidi anakwambia ntakuchangia ,
Natoa tamko sioni sababu ya msingi ya wewe kushindwa kuhudhuruia harusi ya x wako, life shud go on, we ulitaka abaki mjane milele baada ya kuachana naye,
copy kwa ma X wangu woooote na mnanjijua na nshawaalika na nategemea kuwaona ukumbini, i wont tek no for an answer.tuache wivu wa kichawi usio na maendeleo.