Kwanini yanga hawafanyi uchaguzi mpaka leo?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,782
3,190
Hawa watu wanaojiita wa kimataifa kwanini mpka leo hawafanyi uchaguzi? TFF mko wapi mnawalea hawa watu? wadau nao wako kimya,vyombo vya habari kimya..ifanyeni bc ndo taifa staz tujue 1
 
Wakifanya au wasipofanya uchaguzi wewe wa matopeni itakusaidia nini labda?

Au ndiyo mmeandaa zigo lenu lituletee migogoro kama mnakoelekea nyinyi?
 
Back
Top Bottom