Kwanini X-wangu

It seems you are not strong, don't be selfish, try to wear her shoes Miss.

Yamewahi kunikuta kwahiyo naongea nikimaanisha......na akirudiana nae ataumia mara mbili yake.
Mapenzi hayana huruma.....
 
I didn't do anything just distance..nliamka tu nikakuta text ya ku break up..nothing more nothing less
 
Kubali tu kuwa mmeachana then move on.
 
Pole time is a great healer. Utapona jinsi muda unavyoenda, sasa fikiria kwa kutumia kichwa sio moyo tena utaona utofauti. Pole sana mwaya hii dunia wanasema ina watu na viatu.
 
Kama ni demu angalia mambo yafuatayo:-
- sura yako nzuri?
- huko kwenye mbunye kuko vizuri? Maji, harufu, muonekano, na muundo vyote vimetulia?
- uko vizuri ktk game? Style na ubunifu unavyo? Au unapanua tu?
 
Kama ni demu angalia mambo yafuatayo:-
- sura yako nzuri?
- huko kwenye mbunye kuko vizuri? Maji, harufu, muonekano, na muundo vyote vimetulia?
- uko vizuri ktk game? Style na ubunifu unavyo? Au unapanua tu?

mkuu ninamashaka na huyu mtowa mada kwenye sura amefeli
Source avatar yake ina sura mbovu
 
Mwambie umeshindwa ku move on, akikurudia hewala. Akikutaaa tena tambaa, bora ukafie mbele.

Ila ujue, moyo unajua jinsi ya kujiponyesha, shida huwa ni kuifunga akili isiwaze kwa muda huo.

Una PHD ya mapenzi wewe always u produce good advice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…