Kwanini WordPress Developers wanadharaulika?

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,735
Reaction score
7,080
Mimi nashangaa developers kudharauliana, sasa hivi kule Twitter wanasemwa sana WordPress developers, hamjui future trend ya programming ni kuwa few years to come (Mungu akituweka hai) basi kutakuwa na no code platforms nyingi sana kwenye development software industries.

Sababu kubwa ni kwamba programming inaenda kuwa sehemu ambayo unaandika few very few lines of codes Au no codes at all Kutengeneza kitu powerful and very functional. Kwa Marekani WordPress Developer kwa mwaka ana earn nearly $70000 huku kwetu sijui tuna kwama wapi.
 
Huwa kwenye "Enthuasist talk" kama hizo mara nyingi watu huongelea asilimia 1 kubwa na kuacha reality 99%.

Hata sisi tunapobishana kuhusu simu ama processor unakuta watu wana debate core i9 vs ryzen 9 lakini reality watu wengi wana pentium, Celeron, i3 na i5.

Same kwenye programing, ukikuta wenyewe wanaongea lugha ipi nzuri, kuandika from scratch. Etc lakini reality majority ya website siku hizi ni pre made templates. Unaweza ukaenda tu themeforest ukapata theme kali na kutengeneza website yenye mvuto kwa bei nafuu.

Na hizi Ai zinazokuja hata developers wa wordpress nao wajiandae, Ai siku hizi zinachora na kuremba vitu, hivyo watu wenye idea na creativity watakuwa na soko.
 
Yaaah hata mm huwa nawashangaa huku uni tunasoma computer science....webdesign tumeshasoma , java tumesoma, tukameza script za kujibia Pepa tukafaulu vema, baada ya kumeza unabaki ujuzi halisi , Sasa maticha flan wakatupa Kaz tuwasaidie, ya kudesign,
Wakasema tupige japo homepage tuthibitishe Kama tunaweza ,mm nkashindwa kupiga ,Ila nikamwambia ticha naweza Kaz anipe mda wao wakachukua Sifa zao pale, bas jamaa wamekunywa hzo script acha na wanajikuta mafundi usipime , bas muhuni nikaanza kufa na bootstrap nakatoa bonge la kitu, php skuimeza Ila najua basic function ambazo ni muhimu na nnazitumia siku zote , ...wao wakapiga code from scratch functionality zipo poa but poor design ni hatar, Mimi functionality zipo poa the best designe, nkawapiga bao, et wanantisha ttakutana interview room.
My take Kama ni mwanafunz wa computer science kujibu mtihan ni kitu kingine na kutengeza kazi au project ni kitu kingine, Kuna platform nyingi sana hata java zina drag and drop chakufia Nini, ni muhimu kujua code ili hata ukipata template uweze kui edit, vinginevyo utakufa na code zako na utajiongezea ugumu wa shule au maisha kazin, work smarter not harder... I'm out
 
Brother WordPress developer wanacode theme na plugins ambazo watu wa kawaida wanafanya installation na kuzikastomaize kwa msaada wa plugin zingine kama elementor etc .

Sasa wanadharauriwa vipi wakati theme na plugin zao zinanunuliwa kila kukicha?

Niliwahi kuandika uzi unasema sikuhizi kila mtu ni developer, watu walichachamaa, sasa leo nahisi kuna jambo jingine hapa wewe hauongelei WordPress developers labda unafanisha na unaweza kuwa unazungumzia makajanja na user wa kawaida wasio waaminifu aka wazee wa ku 50 percent off kila mara
 
Mimi nashangaa developers kudharauliana, sasa hivi kule Twitter wanasemwa sana WordPress
Wanadharauliwa na nani, kwa sababu zipi?
Isijekuwa mtu katapeli mtu then ndio wamekuwa developers! Ongezea taarifa yako

developers, hamjui future trend ya programming ni kuwa few years to come (Mungu akituweka hai) basi kutakuwa na no code platforms nyingi sana kwenye development software industries.
Day dreams!

Sababu kubwa ni kwamba programming inaenda kuwa sehemu ambayo unaandika few very few lines of codes Au no codes at all Kutengeneza kitu powerful and very functional.
Day dreamming!

Kwa Marekani WordPress Developer kwa mwaka ana earn nearly $70000 huku kwetu sijui tuna kwama wapi.
Hizi taarifa chanzo chako ni nini? Kila dev US anapata hiyo?
Kwa websites ngapi na za aina gani?
Nahisi hapa umetufunga kamba!
 
Natamani nijue bootstrap Ila nashindwa kupata smart learning YouTube site,nkisach Napa tutorial moja bila muendelezo ,msaada naomba muongozo wako jinsi ya kujifunza boostrap
 
Natamani nijue bootstrap Ila nashindwa kupata smart learning YouTube site,nkisach Napa tutorial moja bila muendelezo ,msaada naomba muongozo wako jinsi ya kujifunza boostrap
Ingia Udemy kama ukiona youtube hupati.

NB: Kozi moja ni around 10usd
 
Natamani nijue bootstrap Ila nashindwa kupata smart learning YouTube site,nkisach Napa tutorial moja bila muendelezo ,msaada naomba muongozo wako jinsi ya kujifunza boostrap
Bootstrap ni sehem ya template tu,.... Unachotakiwa kufanya ni kuingia site husika, download kifaili flan ambacho kipo zipped .. unzip kweny folder unazotaka kikae katka pc yako, folder hiyo Ina css and JavaScript library... Zile template unazozionaga zooote katka site znatumia external style sheet ambayo ndio code zake zipo kweny hzo library ulizodownload ,... Ko utakapo IngiA site template yyte utakayochukua utai edit na styling decorations zote zipo kweny library mbili ulizopakua, chamsingi tumia external styling huku pale kwenye link weka directory ya zile file mbili .. natumia Kama huwa unacode utakuwa umepata mwangaza
 
Kw kufanya hivo site ukiidownload itakuwa na decorations Kama za mtandaon ikiwa utalink na zile library mbili, vinginevyo unatakiwa uwe unaidecorate mwenyew Kama una fundi mwingi ...ingawaj3 codding from scratch inaweza kupa poor design uspokuwa makin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…